Liverpool 1 - 1 Everton
Chelsea 3 - 0 Aston Villa
Crystal Palace2 - 0Leicester
Hull 2 - 4 Man City
Man Utd 2 - 1 West Ham
Southampton 2 - 1QPR
Sunderland 0 - 0 Swansea
Arsenal 1 - 1 Tottenham
MDADISIBLOG
Liverpool 1 - 1 Everton
Chelsea 3 - 0 Aston Villa
Crystal Palace2 - 0Leicester
Hull 2 - 4 Man City
Man Utd 2 - 1 West Ham
Southampton 2 - 1QPR
Sunderland 0 - 0 Swansea
Arsenal 1 - 1 Tottenham
Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa
akishangilia jana baada ya kufunga katika
ushindi wa 3-0 wa timu yake dhidi ya
Aston Villa Uwanja wa Stamford Bridge,
London. Mabao mengine yalifungwa na
Oscar na Willian na sasa The Blues wapo
kileleni mwa Ligi Kuu England. Chelsea
ina pointi 16, ikifuatiwa na Southampton
pointi 13, Manchester City pointi 11,
Arsenal pointi 10 sawa na Swansea City
na Aston Vila baada ya kila timu kucheza
mechi sita.
Credit gpl
Credit bongoclantz
Ni taarifa ambayo ilitolewa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba mchezaji wa club ya Simba ya Uganda Fahad Musana amefariki kutokana na mshtuko wa goli alilolifunga Frank Lampard wa Manchester City wakati wakicheza naChelsea juzi.
Pamoja na hayo, taarifa kutoka hospitali kuu Uganda ya Mulago zinasema Fahad alifariki kutokana na ugonjwa wapnemoniana sio mshtuko uliotangazwa awali ambapoFahad aliezikwa September 24 2014 baada ya kufia kwenye hospitali ya Bombo Barracks alikua shabiki mkubwa wa Chelsea.
Credit millardayo
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo amezidi kuweka rekodi ngumu katika ulimwengu wa soka, baada ya jana kufunga mabao manne katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Elche katika La Liga.
Katika mabao hayo manne, mawili yalikuwa ya penalti na hiyo inamaanisha Ronaldo anawea kufunga kila wakati Real Madrid ikizawadiwa tuta.
Unaweza kutundika matairi kadhaa ya gari pembezoni mwa lango na umuambie bao litahesabiwa pale tu atakpopitisha mpira katikati yake mojawapo, na kisha uweke makipa wawili kwenye mstari, na bado atafunga.
"Si kawaida" hivyo ndivyo makocha wengi wa timu pinzani wamekuwa wakisema kuhusu yeye tangu aibuke mfungaji bora wa jumla wa Real Madrid miaka mitano iliyopita. Na hapana, si kawaida,".
RONALDO THE RECORD-BREAKER
Zifuatazo ni baadhi ya rekodi ambazo Cristiano Ronaldo anazoshikilia:
Mabao mengi aliyofunga msimu mmoja kwenye Kombe la Ulaya: 17
Mchezaji pekee kushinea kiatu cha dhahabu Ulaya katika ligi mbili tofauti (Ligi Kuu England akiwa na Manchester United na La Liga akiwa na Real Madrid)
Mchezaji wa kwanza kufunga dhidi ya timu kila timu katika msimu mmoja La Liga
Mabao mengi aliyofunga kwenye mashinano yote Real Madrid kwa msimu: 60
Hat-trick nyingi alizofunga kwa msimu mmoja Real Madrid: 7
Mchezaji aliyefunga mabao 250 kwa haraka zaidi Real Madrid
Mfungaji bora wa kihistoria Ureni kwa mabao yake 50
MABAO YA RONALDO KWA UJUMLA
Mwaka Timuu Mechi Mabao
2002-2003 Sporting Lisbon 31 5
2003-2009 Manchester United 292 118
2009- Real Madrid 254 264
2003- Ureno 114 50
REKODI ZAIDI ZA RONALDO ZINAKUJA...
Mabao tisa aliyofunga Ronaldo katika mechi tano za La Liga ni moja zaidi ya Lionel Messi wakati nyota huyo wa Barcelona alipofikisha mabao 50 katika La Liga msimu wa 2011-12
Akiwa na mabao 264 katika miaka yake mitano ya kucheza Real Madrid, Ronaldo anahitaji manbao 59 kumfikia Raul aliyefunga mabao 323, kwa zaidi ya miaka 16.
Ronaldo sasa amefikisha hat trick 21 katika La Liga, mbili zaidi ya Messi na moja nyuma ya anayesukilia rekodi, Alfredo Di Stefano