Sunday, September 28, 2014

DIEGO COSTA NI HABARI NYINGINE...THE BLUES KILELENI ENGLAND

Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa
akishangilia jana baada ya kufunga katika
ushindi wa 3-0 wa timu yake dhidi ya
Aston Villa Uwanja wa Stamford Bridge,
London. Mabao mengine yalifungwa na
Oscar na Willian na sasa The Blues wapo
kileleni mwa Ligi Kuu England. Chelsea
ina pointi 16, ikifuatiwa na Southampton
pointi 13, Manchester City pointi 11,
Arsenal pointi 10 sawa na Swansea City
na Aston Vila baada ya kila timu kucheza
mechi sita.

0 comments:

Post a Comment