Thursday, September 25, 2014
 |
Wakati Real Madrid wameibuka
na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya
Elche, Barcelona mambo
yamekuwa si safi kiivyo baada ya
kulazimishwa sare ya suluhu
dhidi ya Malaga.
Wakiwa ugenini, Barcelona
walifanya kila juhudi huku
mshambuliaji wao nyota Lionel
Messi akihaha kila idara ili
kupata bao angalau moja, lakini
mambo yalishindikana.
Wakati fulani, Malaga walikuwa
wakali kama nyuki katika mechi
hiyo ya La Liga lakini kipa wa
Barcelona akawa imara kuokoa
michomo ya hatari. |
0 comments:
Post a Comment