Friday, September 26, 2014
 |
Ingawa hajaweka wazi namna dili hii
itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa
Instagram,Diamond Platnumz amepost picha
ambayo imebeba maandishi yasemayo
‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa
kuwa kijana wako sasa ni balozi wa
application mpya iitwayo Mziiki’.
Hii ni application ambayo itatumiwa na watu
wenye simu za androad kusikiliza muziki huu
ndiyo muonekano wake utakapokuwa ume
instal kwenye simu yako. |
 |
Maandishi ya Diamond pamoja na alichokipost
ni hICHO |
0 comments:
Post a Comment