Friday, September 26, 2014

Rais Kikwete akikasirika au mtu akimuudhi nyumbani huwa inakuwa hivi….

Labda inawezekana hii ikawa mara yetu ya kwanza kusikia upande wa pili wa President wetu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ambae tumezoea tu kumuona akihutubia, akijumuika na watu mbalimbali kwenye matukio ya furaha na huzuni lakini kuna menginehatuyajui kuhusu yeye.Mtoto wake Ridhiwani Kikwete ambae ni mbunge wa Chalinze ameongea kwenyeExclusivenamillardayo.comna kueleza ni jinsi gani inavyokua pale ambapo baba yake anakasirika au anapokasirishwa akiwa nyumbani.
>>> ‘Jambo akiwa halitaki mara nyingi hupenda kusema achana na hilo lakini kama ni mtu kafanya jamboflani sio zuri utamsikia mzee tu anasema huyu mtu bwana achana nae….. maarifa yake madogo, naweza kutoa ushuhuda mbele za watu mzeewangu mimi sio mtu ambae ameishi kwenye mazingira yanayotoa fursa yamatumizi ya lugha ngumungumu kama matusi‘‘Yani mtu akimuudhi… huwezi kusikia amefikia hatua ya kutamka labda huyu mshenziiii…. sina kumbukumbu ya mimi kumsikia akitamka neno kama hilo, mara nyingi ukikosea anasema huyu maarifa yake madogo kwelikweli‘ – Ridhiwani

Credit millardayo

0 comments:

Post a Comment