Tuesday, August 26, 2014

BREAKING NEWZ:::PENZI LA WEMA NA DIAMOND TENA BAAAASI WAMEBWAGANA VIBAYA SANA SOMA HAPA

Habari zilizotukia hivi punde ni kwamba wema na diamond wameacahana rasimi leo asubuh,akiongea na kituo kimoja cha redio wema kwa masikitiko akionekana mwenye majonzi alisema please i dont like to talk about it

Stay tune kwa habari zaidi
Source:mzalendohuru.blogspot.com

2 comments:

  1. Wewe ni MUONGO. Millardayo.com ameweka maongezi ya Wema na Soudy Brown na Wema amekanusha. Wewe unaipa na Title "BREAKING NEWS" ati wameachana, ati na Wema anaongea kwa sauti ya unyonge!! Teh Teh Teh!! Tafuta story mathubuti kaka, achana na umbea wa kucopy.

    ReplyDelete
  2. mm najisikia amani kuwaona wakiwa wawili na,mungu awajarie wazidi kuwa pamoja

    ReplyDelete