Thursday, September 25, 2014
 |
Shabiki mmoja wa Manchester
City ameshindwa kujizuia baada
ya kuvamia uwanjani wakati wa
mechi ya Capital One kati ya timu
hiyo dhidi ya Sheffield
Wednesday.
Dogo huyo alishindwa kujizuia
kuonyesha mapenzi yake kwa
mkongwe Frank Lampard na
kwenda moja kwa moja kupata
naye selfie (kujipiga picha kwa
kutumia simu).
Hata hivyo, baadaye Polisi
walimdaka dogo huyo na
kuondoka naye uwanjani hapo,
hata hivyo alionekana kutojali
kiivyo. |
0 comments:
Post a Comment