Showing posts with label Matukio. Show all posts
Showing posts with label Matukio. Show all posts

Thursday, July 10, 2014

AJALI:- BASI LA AMANI LAPATA AJALI MAENEO YA SALANDA MKOANI TABORA, MTOTO MMOJA AFARIKI DUNIA

Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao   Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao  Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri...