Saturday, September 20, 2014

HIVI NDO ILIVOKUWA KATIKA MECHI YA MTIBWA vs YANGA

Na Issa Ahmada, MOROGORO YANGA SC imeanza kwa kipigo cha mabao 2-0 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutoka Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro mshambuliaji Genilson Santana ‘Jaja’ akikosa penalti. Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Dominick Nyamisana wa Dodoma, aliyesaidiwa na Ferdinand Chacha wa Mwanza na Milambo Tshikungu wa Mbeya, hadi mapumziko tayari Mtibwa Sugar walikuwa wanaongoza kwa bao 1-0. Bao hilo lilifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Simba SC na DC Motema Pembe ya DRC, Mussa Hassan Mgosi dakika ya 16 aliyemalizia pasi ya kichwa ya Ame Ali na kumuwahi kipa Deo Munishi ‘Dida’ aliyetokea vizuri kutaka kudaka. Baada ya bao hilo, nyuki wakaingia uwanjani jambo lililosababisha wachezaji walale chini kwa dakika mbili, kabla ya wadudu hao kuondoka na mchezo kuendelea. Almanusra Genilson Santana ‘Jaja’ aisawazishie Yanga SC dakika ya 32 baada ya kuunganisha vizuri kwa kichwa kona ya Haruna Niyonzima, lakini Hassan Ramadhani akauokoa ukiwa unaelekea nyavuni. Dakika ya kwanza tu ya kipindi cha pili, Yanga SC walipata penalti baada Salim Mbonde kuunawa mpira kwenye eneo la hatari, lakini kipa Said Mohamed Kasarama akapangua kwa mguu mkwaju wa Jaja. Dakika ya 47, Simon Msuva aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Hamisi Kiiza ‘Diego’aliifungia Yanga SC bao, lakini refa akasema aliotea. Dakika ya 49 tena, Mrisho Ngassa alifunga bao lakini refa akasema aliotea pia. Dakika ya 67, Simon Msuva alivamia langoni mwa Mtibwa na kutoa vitu vilivyokuwa chini upande wa nyavu kubwa na kukimbia navyo huku akikimbizwa na kipa Said Mohamed Kasarama kabla ya kuvitupa nje. Dakika ya 82 mpishi wa bao la kwanza, Ame Ali aliifungia Mtibwa bao la pili baada ya kufanikiwa kuwahadaa mabeki wawili wa kati wa Yanga SC, Nadir Haroub ‘Cannaaro’ na Kevin Yondan kisha kumtungua Dida kufuatia pasi nzuri ya Hassan Ramadhani. Yanga SC iliathiriwa na mabadiliko iliyoyafanya dakika za mwishoni kumtoa Mbuyu Twite aliyekuwa mhimili wa safu ya ulinzi na kuingiza mshambuliaji, Said Bahanuzi. Kocha wa Yanga SC, Marcio Maximo ambaye alimfundisha kocha wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime alipokuwa Taifa Stars alikuwa mnyonge baada ya meci hiyo. Kikosi cha Mtibwa Sugar kilikuwa; Said Mohammed, Hassan Ramadhani, David Luhende/Majaliwa Shaaban dk64, Salim Mbonde, Andrew Vincent, Shaaban Nditi, Ali Shomary, Muzamil Yassin, Ame Ali, Mussa Mgosi/Vincent Barnabas dk50 na Mussa Nampaka/Dickson Daud dk72. Yanga SC; Deo Munishi ‘Dida’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Omega Seme, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/ Said Bahanuzi dk72, Hassan Dilunga, Haruna Niyonzima, Genilson Santana ‘Jaja’, Mrisho Ngassa na Hamisi Kiiza/Simon Msuva dk46.

PICHA SALEH ALLY

HUJUMA STARS, TFF KUUNDA JOPO LA KUCHUNGUZA, VIGOGO KUITWA KUHOJIWA

KUITWA KUHOJIWA Home » Unlabelled » HUJUMA STARS, TFF KUUNDA JOPO LA KUCHUNGUZA, VIGOGO KUITWA KUHOJIWA Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zilizoandikwa kwenye baadhi ya Vyombo vya Habari zikielezea tuhuma za hujuma kwa timu ya Taifa (Taifa Stars) katika mechi za kufuzu mashindano ya AFCON. TFF pamoja na kutokuwa na uthibitisho wa tuhuma hizi nzito haliwezi kuzikalia kimya. TFF itateua jopo la kuchunguza tuhuma hizi. Wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania (Members of TFF Family) watakaohitajika kuhojiwa na jopo hilo kwa mujibu wa Ibara ya 37 ya Kanuni za Maadili za TFF watalazimika kutoa ushirikiano. Atakayeshindwa kutoa ushirikiano atachukuliwa hatua za kimaadili. Pia wadau wa mpira wa miguu ambao sio wanafamilia wa TFF, watakaoitwa na jopo hili wanaombwa watoe ushirikiano kwa nia ya kujenga mpira wetu.

Petit Man Amefunga Ndoa Na Dada Yake Diamond Platnumz ‘Esma Platnum, tazama picha hapa

Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame Petit amethibitisha kuwa na mapenzi ya ukweli kwa Esma kwa kufunga nae ndoa kama ilivyoripotiwa mapema.Hii piccha na ujumbe kutoka kwa Petit. Wema Alipost ujumbe huu kwaajili yao “ credit : sammisago Wat can I say…. Im super happy for you two…. Wenyewe mlianza kimasihara maskini…. Who would ve known dat itafika hii siku and now mmehalalishwa…. Wow….!! Proud of u toto and to you my beautiful Esma, I wish u nothing but happiness…. Nawapenda sana… and nawatakia kila lililo lenye khery… Mpendane na muheshimiane katika maisha yenu ya ndoa… Ndoa ni baraka na naomba mwenyezi mungu awafungulie kila kulipofungwa na awatie ujasiri…. muishi kwa amani na upendo hadi pale kifo kitakapowatenganisha…. dah hadi machozi yamenitoka.

Diamond Azidi Kujiharibia Yamkuta Tena Huko London Usiku wa Kuamkia Leo Jumamosi

Haya promota VICTOR aliye Andaa Show ya Diamond London kashikiliwa na polisi, walionunua ticket kuona show yake wamegoma kuondoka hadi warudishiwe pesa na wamerudishiwa.

Diamond hakuonekana ukumbi wa La Face huko London ambapo alitangaza kutumbuiza, na kesho alidai usiku wa tar 20 atatumbuiza ujerumani bure. na hadi mida ile hakujulikana alipo au imekuwaje...tusubirie

Sasa huyu kijana amekuwa anapata bahati mbaya hivi..... Maana inakuwaje juzi iwe ujerumani leo london michezo ya ajabu inamtokea?

HAYA UKWELI TUUSUBIRIE KUUSIKIA AS NDIO BADO HAKUJAKUCHA SASA.... ukweli/uongo utakuja

ila mie nimechoka kumsikia eti show show inabidi management yake ijifunze kitu wasiburuzweeeeeee...tutasikia. inasikitisha sie tunaependa miziki yake na jitihada zake

*******
SIJUI NINI KINAENDELEA JAMANI ILA NAANZA KUMUONEA HURUMA AS EARLIER KWA FB PAGE YAKE ALIANDIKA HIVI

"Tafadhali, nikikuomba unipangie list ya nyimbo ambazo ungependa niziimbe usiku wa leo pale #LAFACE_CLUB London utanipangiaje???...
(if i ask you to arrange a playlist for my Performance tonight at #LAFACE_CLUB #LONDON how would it be.....?)"

ALIKUWA TAYARI KABISAKUTUMBUIZA...... HAYA TUTASIKIA

********
SASA CHA KUSHANGAZA ZAIDI NI KUWA

Masaa kama 7 yaliyopita niseme kama saa 5 usiku mida ya London, alirusha kideo kikionyesha ukumbi huko Ujerumani atakapo piga ile show yake siku ya jumamosi tar 20 Sept (BURE) kufidia yaliyotokea siku ambayo akufanya show. the huku iko hivi ameacha tena sohooo huko London la kutofanya show

Itabidi ajibu kuwa alikuwa wapi mida aliyotakiwa kuwa ukumbini London, nimeona ameanza kuitwa tapeli...

WEWE DIAMOND KAMA ULIKUWA UNAJUA UTAKUWA UJERUMANI KWANINI HAUKURUSHA UJUMBE KUOMBA MSAMAHA FANS WAKO WASISUMBUKE KWENDA?????

TUSUBIRIE STORY ZA KAPUNI....VIDEO TENA MNASIKIKA MNAONGEA KISWAHILI...HOW COME? TUFAFANULIE TUJUE MAANA IKIWA ULISAFIRI KWENDA KWA MWEST KUMFURAHISHA MMMHHHH...SEMA MAANA LAZIMA UTASEMA WA UK HAWAKUKUPA PESA MLIZOAHIDIANA AU???

****
OK DIAMOND KWA INSTA KAMRUSHA MKAKA PICHA NA KUANDIKA HAYA

Tafadhari ndugu zangu wa UK!!!....kuweni makini sana na promoter huyu (Victor - Dj rule) mnaposikia kaandaa show, party au Hafla yoyote...ni vyema kuziepuka na kutohudhuria kabisa kwasababu ni tapeli.... si unajua aisifiae mvua imemnyeshea... basi mie nimeloa kabisa!"

HIII NI KAMA SAA MOJA ILIYOPITA YAANI SAA 11:40 ASUBUHI MIDA YA LONDON

MAJIBU NAYO MOJAWAPO NI

"embu jieleze vizuri sasa maana wengi tukisikia show zako hatutakuja hata kwa kunusa mlango. kwanini unamuita tapeli? juzi ujerumani ulisema hivyohivyo yule kaka tapeli embu sema acha uswahili na kutapeli jina ni lako kamahaujifunzi shauri yako. sema elezea nini sio kukmchafua mwenzio bila proof"

"A piece of advice naomba uwe na mwanasheria wakuangalia hiyo mikataba sasa kuna vitu vimejificha nyuma ya kutaka kukuharibiaa kazi shemu letu kuwa makini na jitahidi uwe na mwanasheriaa binadamu sisi wabaya walaaahi nakuambia kuna kitu tuu hapa c bure"

"Kwanza kama wasemvyo wadau, hizo ni njama, shtukia chezo na ujipange kimataifa na kimaarifa zaidi. Set new terms and hire a professional lawyer kwa ajili ya kuingia mikataba ya kazi zako na kusimamia. Haya yasikuyumbishe wala kukurudisha nyuma bali yawe ngazi ya kufikia kule wasikotaka ufike. @diamondplatnumz"

HILI NI PIGO LINGINE KUBWA WALIOPATA TIMU YA ARSENAL

BEKI wa pembeni wa Arsenal, Mfaransa Mathieu Debuchy anaweza kuwa nje ya Uwanja hadi Krisimasi baada ya kuumia enka dhidi ya Manchester City mwishoni mwa wiki iliyopita. Kocha Arsene Wenger amesema kwamba Debuchy alitarajiwa kwenda kufanyiwa uchunguzi kama atahitaji upausaji wa kifundo chake cha mguu jana jioni ambao utatoa majibu atakaa nje kwa muda gani. Ikiwa hatahitaji upasuaji, itamchukua wiki sita nje ya Uwanja kabla ya kurejea dimbani, lakini kama atapigwa 'kisu' atakuwa nje kwa angalau miezi mitatu.

Martin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu. Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono.. Picha hiyohapo niliyo screenshoot.

HUYU MCHUNGAJI ANASWA AKIMUOGESHA MKE WA MTU KATIKATI YA MAOMBI...

Mchungaji alipigwa picha hii wakati akiosha mke wa mtu ambaye alikuwa uchi wakati wa mfululizo wa maombi ya utakaso. Picha hiyo imeleta mzozo na maswali mengi nchini Ghana. Mmoja wao alisikika akisema "Tumesikia hizi habari za wachungaji kuosha wake za watu, lakini leo tumemkamata huyu waziwazi....Wapi kwenye Biblia au maandiko yanayosema Yesu kaosha mtu uchi"? "Wapi kwenye Biblia panaposema ukifanya mapenzi na mchungaji kutatatua matatizo yako"? Inasemekana mambo hayo ya wachungaji nchini Ghana yamekuwa ni mengi sana.

MCHEKI JIMAMA MBULULA LIKIMWAGA RAZI MCHANA KWEUPE!!! NI BALAAA

Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri juzikati, majira ya mchana kwenye kigodoro mbele ya watoto waliopokea ekaristi takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Monica lililopo maeneo ya Kihonda mkoani hapa.

KWA WALE WADADA MAMBURULAA WA MJINI MNAOPENDA KUIGA, IGENI NA HII SASA KAMA MNAWEZA!!

KUHUSU MASOGANGE SAHAU KABISA!! CHEKI MADADA HAWA WALIVOUMBIKA

MCHEKI BEBE MKALI MBURULAAZ ALIVYOVAA MAVAZI YASIO NA MAADILI

KAJALA AKWAMA PESA YA KUMTOA JELA MUMEWE

Msanii wa filamu Bongo , Kajala Masanja akiwa na mumewe mahakamani . Licha ya mkwanja kumtembelea , msanii wa filamu Bongo , Kajala Masanja amekwama kupata pesa ya kumlipia faini mumewe Faraji Chambo ili aweze kutoka jela .Akizungumzia ombi la mumewe huyo kumtaka kutofuja pesa badala yake amlipie faini ili aondokane na mateso ya gerezani, Kajala alisema ni kweli anampenda sana mumewe na angetamani kufanya hivyo lakini kiasi cha shilingi milioni 200 kinachotakiwa si kidogo hivyo hawezi kukipata. “ Nampenda sana mume wangu , hilo halina ubishi na pia najua anateseka sana kule gerezani kwani nakujua lakini milioni 200 siyo hela ndogo ujue . “ Natamani hata leo niwe nayo nimlipie lakini ndiyo hivyo tena ,” alisema Kajala kwa masikitiko . Hata hivyo , licha ya Kajala kuwa na nia ya kumtoa jela mumewe , mmoja wa mawakili aliyekuwa akihusika na kesi yao aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema: “ Kama Kajala anafikiria kumlipia mumewe faini simshauri afanye hivyo kwani hukumu iliyotolewa ni ya kesi moja na ile nyingine ya kuuza nyumba iliyokuwa imewekwa bondi na Takukuru , bado inaendelea na huwa Faraji anatoka gerezani kwenda mahakamani. “ Sasa Kajala anaweza kutoa pesa zake , mumewe akatoka lakini hukumu ya ile kesi nyingine ikatolewa na akarudi tena jela ,” alisema wakili huyo. Hivi karibuni, mume wa Kajala alituma ujumbe kupitia watu wanaokwenda kumtembelea akimtaka mkewe kumuonea huruma na kumlipia faini ili atoke gerezani badala ya kuzitumia pesa kwa anasa.

KUHUSU SUALA LA KUTOKA KIMAPENZI NA JUX VANNESA MDEE AFUNGUKA KIHIVI....

Vanessa Mdee aka Vee Money amekanusha tetesi zilizopo kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muimbaji wa ‘Nitasubiri’ Jux. Siku za hivi karibuni, Vanessa na Jux wamekuwa karibu kiasi cha watu kuhisi kuwa ni wapenzi.“Unajua labda watu hawafahamu tu lakini mie na Jux tumefahamiana muda sana na ni mtu ambaye huwa tunashauriana hasa mambo ya kazi zetu,” amesema Vanessa aliyecheka baada ya kuulizwa swali hilo. “Ni rafiki yangu wa muda sana sasa hivi.

Friday, September 19, 2014

HUYU NDO MCHUNGAJI ALIYETEKA ROHO ZA WENGI NIGERIA

Marais wengi Afrika wamemtembea Joshua wakitafuta kuombewa Kanisa lililoporomoka mjini Lagos wiki jana , na kuwaua watu wengi, lilikuwa linamilikiwa na mhubiri anayesifika sana nchini Nigeria, TB Joshua. Tomi Oladipo anatufichulia haiba ya mhubiri huyu ambaye anadai amewaponya watu wakiwemo vipofu na waathiriwa wa HIV. TB Joshua anadai kuwahi kutabiri matukio mengi kuanzia kwa kifo cha aliyekuwa gwiji wa muziki, Michael Jackson, hadi kupotea kwa ndege ya Malaysia ya MH370" Anajiita mtume na ni mmoja wa wahubiri mashuhuri sana nchini Nigeria ambako makanisa kama lake ni mengi kupindukia. Alizaliwa mwaka 1963 tarehe 12 Juni katika familia maskini, akidai kwamba alikaa kwenye tumbo la mamake kwa miezi 15. Baadaye katika maisha yake, anadai kuona kwenye ndoto yake manabii wakimtaka kuhubiri na kufanya miujiza.

Roma: Siwezi kufanya collabo na huyu jamaa (Nay wa Mitego)

Ni utani tu ama kweli amemaanisha? Roma amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa Mitego. Drama ilianza baada ya kuweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na Nay wa Mitego na kuandika: #Ninja n #EmmanuellyElibarik cc @naytrueboy #WeAllBrotherz Add a cap…..” Kwa maelezo hayo ilionekana ni picha ya kawaida na kuwa jamaa hao wanaiva pamoja na Nay kumchana kwenye ngoma yake ‘Mr Nay’. Hata hivyo mambo yaligeuka baada ya Daudi wa Kota kumuuliza Roma: Collaboration lini? Roma alijibu,” Mimi siwezi fanya kollabo na huyu jamaa man.” Tunaamini ulikuwa ni utani tu.

HII NI STORY NYINGINE KUBWA INAYOMUHUSU DIEGO COSTA WA CHELSEA

KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa ababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania. Costa, ambaye amefunga mabao saba katika mechi zane nne za awali Chelsea, alilazimika kuanzia benchi katika mchezo wa sare ya 1-1 na Schalke Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana. Pamoja na hayo, Mourinho hakuwa na malalamiko coyote kwa Hispania zaidi ya kusema na wao pia wanamhudumia vizuri mshambuliaji huyo juu matatizo yake ya misuli yanayomkabili.

Posted via Blogaway

MCHAMBUZI WA SOKA MAHARUFU DUNIANI ATABIRI MATOKEO YA MECHI KATI YA MANCHESTER CITY vs CHELSEA

Ligi kuu ya Uingereza inataraji kuendelea wikiendi hii kwa michezo ya mzunguko wa tano huku klabu ya Chelsea ikiwa bado inaongoza msimamo wa ligi hiyo wakati Newcastle United ikishika mkia. Mchambuzi mahiri wa soka kutoka nchini Uingereza,Paul Merson anakuja kwa mara nyingine na ubashiri wake wa mchezo wa chelsea na manchester cty Ambapo amesema matokeo yatakua 1-1 iwapo diego Costar atacheza mchezo huoMchambuzi huyo alisisitiza kwamba iwapo mshambuliaji mahiri wa Chelsea,Diego Costa hatocheza Jumapili kutokana na majeraha ya nyama za paja aliyoyapata tangu wiki iliyopita kwenye timu yake ya Taifa ya Uhispania basi Man City wataibuka na ushindi wa goli 2-0. Licha ya nyota huyo wa zamani wa Atletico Madrid kusumbuliwa na maumivu ya kuchanika nyama za paja lakini Jose Mourinho amezidi kumpanga mchezaji huyo anayeongoza kwa upachikaji wa mabao akiwa amefunga magoli saba mpaka sasa. Na mdadisiblog/festosaimon

Posted via Blogaway

UJUMBE WA MWISHO CHALINZE, MJINI KILA MTU JAJA WAMCHEFUA OKWI, auzungumzuia

Mshambuliaji nyota wa Simba, Emmanuel Okwi ameapa kuwa siku chache zijazo waliosema "Okwi mwisho Chalinze, kila mtu mjini Jaja", hawatarudia kusema hilo.
Okwi ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Facebook.

Okwi ameonyesha kusikitishwa na ujumbe huo ambao umekuwa ukisambaa kwa kasi kubwa.
Akasisitiza kuwa amerejea Simba ambako yeye ni nyumbani na watu wanapaswa kumuamini.
Anachohakikisha kuwa msemo huo utafutika kutokana na atakavyoitumikia Simba kwa nguvu na kuipa mafanikio.
Mara baada ya Jaja raia wa Brazil kufunga mabao mawili katika mechi ambayo Yanga iliishinda Azam FC katika mechi ya Ngao ya Jamii kwa mabao 3-0, kejeli nyingi zilianza kusukubwa kwa Okwi.
Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakimbeza kwa ujumbe wa kila aina wakidai hawamhitaji tena.
Uongozi wa Yanga umeamua kwenda Fifa kuhakikisha Okwi hachezi Simba kwa madai kuwa ni mchezaji wao na inamdai fedha.
Lakini OKwi naye kupitia mwanasheria wake Dk Damas Daniel Ndumbaro nayo imefungua madai kuidai Yanga.

MICHEPUKO SIO DILI BAKI NJIA KUU MDADA APOKEA KICHAPO KIZITO BAADA YA FUMANIZ! cheki hapa

Huyu dada alimfumania mumewe....matokeo yake mwanamke kapigwa na mumewe!.wanaume wakatili sana kwanza kamkosea mke wakekwa kumsaliti ...pili kapema kipigo kana kwamba yeye ndio kafumaniwa

Posted via Blogaway

HUYU MDADA ATANGAZA MTANDAONI KUWA ANAFANYA BIASHARA YA UKAHABA,ATUPIA PICHA hizi

Kwa jina anaitwa Sandra Mpofu.Mtazame picha zake za aibu hapo chini

Posted via Blogaway