Saturday, September 20, 2014
 |
| Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless
Fame Petit amethibitisha kuwa na mapenzi
ya ukweli kwa Esma kwa kufunga nae ndoa
kama ilivyoripotiwa mapema.Hii piccha na
ujumbe kutoka kwa Petit.
Wema Alipost ujumbe huu kwaajili yao
“
credit : sammisago
Wat can I say…. Im super happy for you
two…. Wenyewe mlianza kimasihara
maskini…. Who would ve known dat itafika
hii siku and now mmehalalishwa…. Wow….!!
Proud of u toto and to you my beautiful
Esma, I wish u nothing but happiness….
Nawapenda sana… and nawatakia kila lililo
lenye khery… Mpendane na muheshimiane
katika maisha yenu ya ndoa… Ndoa ni baraka
na naomba mwenyezi mungu awafungulie kila
kulipofungwa na awatie ujasiri…. muishi kwa
amani na upendo hadi pale kifo
kitakapowatenganisha…. dah hadi machozi
yamenitoka. |
0 comments:
Post a Comment