Katika pitapita zangu instagram nikakutana na
post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja
wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.
Nilishangazwa sababu maneno haya
hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda
kama ana mmanage kwenye biashara ya
Ngono..
Picha hiyohapo niliyo screenshoot.
0 comments:
Post a Comment