Saturday, September 20, 2014
 |
| Mchungaji alipigwa picha hii wakati
akiosha mke wa mtu ambaye alikuwa
uchi wakati wa mfululizo wa maombi ya
utakaso.
Picha hiyo imeleta mzozo na maswali
mengi nchini Ghana.
Mmoja wao alisikika akisema "Tumesikia
hizi habari za wachungaji kuosha wake za
watu, lakini leo tumemkamata huyu
waziwazi....Wapi kwenye Biblia au maandiko
yanayosema Yesu kaosha mtu uchi"?
"Wapi kwenye Biblia panaposema ukifanya
mapenzi na mchungaji kutatatua matatizo
yako"?
Inasemekana mambo hayo ya wachungaji
nchini Ghana yamekuwa ni mengi sana. |
0 comments:
Post a Comment