Friday, September 19, 2014
|
Ni utani tu ama kweli amemaanisha? Roma
amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa
Mitego.
Drama ilianza baada ya kuweka picha kwenye
akaunti yake ya Instagram akiwa na Nay wa
Mitego na kuandika: #Ninja n
#EmmanuellyElibarik cc @naytrueboy
#WeAllBrotherz Add a cap…..”
Kwa maelezo hayo ilionekana ni picha ya kawaida
na kuwa jamaa hao wanaiva pamoja na Nay
kumchana kwenye ngoma yake ‘Mr Nay’. Hata
hivyo mambo yaligeuka baada ya Daudi wa Kota
kumuuliza Roma: Collaboration lini?
Roma alijibu,” Mimi siwezi fanya kollabo na huyu
jamaa man.”
Tunaamini ulikuwa ni utani tu. |
0 comments:
Post a Comment