Tuesday, October 14, 2014

RAY C AFUNGUKA MAKUBWA KUHUSU WEMA NA KAJALA .. ...! AMUOMBA MSAMAHA ZAMARADI MKETEMA

Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya: “Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi ujue ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi ni kwamba kumekua na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba Mara team nyani!naingea kutoka. Moyoni kuwa watanzania tunasifika kwa kuwa na amani na upendo!sasa iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na ugomvi badala ya kuishi kwa amani?najua sisi wasanii tuna mashabiki wengi. Na tunapenda na nnyie mnatupenda kwahiyo mnatakiwa kutupatanisha tunapogombana na si kutushabikia coz mnaposhabikia ugomvvi ndio mnapotufanya tupoteze muda kulumbana badala ya kutumia huo muda kufanya kazi zetu za sanaa kwa bidii tutangaze nchi yetu tunapoteza muda kulumbana,wenzetu wanaigeria wako mbali sana kwa sababu wanasapotiana sana!wasanii tuache bifu za kijinga na tutumie muda mchache tuliopewa na mola kufanya kazi zetu kwa bidii tutangaze nchi yetu ili vizazi vijavyo virithi bidii zetu,na naomba sana mashabiki wote msapoti mazuri tuyafanyayo” Ray C ameendelea kusema na kumwomba msamaha Zamaradi Mketema kama ifuatavyo : “Love u zama n sorry for everything keep doing wat u do best @zamaradimketema n hey dogo langu @wemasepetu and my friend @new_kajala tusameheane na tupendane na tupige kazi Africa watutambue bana!!!!!!“ credit : bongoclantz

Monday, October 13, 2014

MATOKEO YA KUFUZU EURO 2O16 HAYA HAPA

PERUZI KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU HAPA

TAARIFA ZAIDI KUHUSU DADA AJIYEJICHOMA KISU TUMBONI

Mapenzi hatare sana!hayana cha wewe mzuri,au una cheo,au una pesa,ama hauna...yaani yakikukamata utajuta so mtu akifikiaga maamuzi ya hivi usimcheke kabisa!!....sawa na kumtukana mamba huku mto bado hujavuka Huyu ni mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa
kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine.....sasa ni hivi huyu mwanafunzi akitoka hospt unaweza kumshauri vipi ili asirudie kufanya kitendo hicho??maana huwezi kujua labda bado anayo dhamira ya kujimalizia......ila wanaume mnapata dhambi sana kwa Mungu dah!hivi mwanaume akiwa na mwanamke mmoja itakuwaje??au ataonekana mshamba??....yaani tangu jana niliwaza hili tukio mpk basi...dwah ngachoka mie!!

SIRI YA WABEBES WENYE MWANYA NA KIDOTI / KIALAMA CHEUSI YAFICHUKA

Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa wanawavutia sana Wanaume Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao huwavutia wanaume walio wengi sana na mambomseto tukiwa wamoja wapo:wewe wavutiwa?

KAMA BADO UJAJIUNGA NASI ILI KILA TUKIPATA HABARI ZIKUFIKIE KIRAHISI KWENYE FACEBOOK YAKO BOFYA HAPA 

MAJANGA HAYA....! MCHUNGAJI AFUMANIWA NA MKE WA MAREHEMU MUUMINI WAKE..

A pastor and a married woman said to be his lover have been arrested by police in Edo in connection with the murder of the woman’s husband, Victor Nsongbunyo, who is a Deputy Manager with the NNPC.
He was said to have been killed in Benin, capital of Edo State, by his wife and her lover, the Pastor, due to the fact that he had begun to suspect her of infidelity.

Late Mr Victor Nsongbuyo was said to have begun questioning the paternity of the children his wife has for him and the one she was expecting. Below are the shocking revelations...

Mr Victor visited their home town to complain to his family and his in-laws. Consequently, the families resolved that a DNA test would be conducted after the wife gave birth to the child. This arrangement, according to sources, incensed the wife, prompting her into plotting to murder her husband with her lover, who is a Pastor.

According to police sources, Victor returned from work on Friday October 22, 2013, his suspected killers came and killed him, and put the mutilated body into one of his old cars. The car was driven to Sapele road, Benin, where it was set ablaze with his body.

The following Monday, October 25, the woman was said to have gone to her late husband’s office to report that he was missing. She was also said to have reported the incident of the husband’s death to the police. Thereafter, she went to her husband’s bank where she allegedly withdrew N4million from his account.

It was gathered that following information to a staff of the NNPC that a burnt car was sighted somewhere along Sapele Road, they rushed to the scene and found it was the late Mr. Victor Nsongbunyo’s car.

The NNPC staff rushed to his wife at their home to inform her of the finding, but surprisingly, found her sitting comfortably at home watching African Magic, a situation which prompted police suspicion of the woman.

The police were said to have launched a search for the car given to Victor by NNPC following his promotion, and the car was reportedly traced to a compound at Ekenwan road in Benin.

The police detectives were said to have accosted a lady in the compound where the car was packed and she in fear opened up. She told the police that the car was packed by a Pastor who lives in the compound.

Further investigation by the police led them to observe burns in the Pastor’s left hand and face. The pastor had reportedly told the police that one of his daughters in the church sowed a seed with the car.

He was said to have led the police to the residence of the said "daughter" who sowed seed with the car, but it turned out that it was the residence of the deceased and it was the deceased’s wife.

The police then arrested the pastor and the deceased’s wife, both of whom are now helping the police in their investigation into the murder of Mr. Victor Nsongbunyo.
The police in Edo State say they are shocked by the ugly development.

HAYA SASA MAJANGA....! KIJANA WA MIAKA 32 ANASWA FARAGHA NA BIBI KIZEE WA MIAKA 80......

KUNA mengi ya kushangaza duniani lakini hili la kijana Hamad Issa (32) kunaswa faragha na bibi kizee Adela Mkalau (80) linaongeza rekodi ya mambo yanayoshangaza, Risasi Mchanganyiko lina kila kituTukio hilo la kustaajabisha limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita, nyumbani kwa bibi huyo, Yombo –Buza, jijini Dar es Salaam ambapo wajukuu wa bibi huyo ndiyo waliomnasa.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, wajukuu wa bibi huyo walifedheheshwa na kitendo hicho hivyo kuwawekea mtego na kuwanasa kisha kumfikisha Hamad katika Kituo cha Polisi Chang’ombe kwa tuhuma za ubakaji.

BIBI: SIJABAKWA Katika kutafuta uhakika wa madai ya wajukuu hao, polisi wa Chang’ombe waliagiza bibi yao aitwe ili athibitishe madai hayo wakati upelelezi mwingine ukiendelea.
Sosi wetu alisema kuwa bibi aliwaacha hoi polisi baada ya kufika kituoni hapo na kukataa maelezo ya wajukuu zake, huku akisisitiza hakubakwa bali walikubaliana na Hamad.

Baada ya bibi huyo kuondoa utata, polisi walikubali kumuachia Hamad kisha wajukuu wakafunguliwa kesi ya kushambulia na kudhuru mwili iliyoandikishwa kituoni hapo kwa jalada namba CHA/RB/10629/2013.

BIBI NA PAPARAZI WETU
paparazi wetu alifunga safari hadi nyumbani kwa bibi huyo na kuzungumza naye kuhusu tukio hilo ambapo alisema: “Sijabakwa na nimekasirishwa sana kwa kitendo cha kumpiga kijana wangu. Wawe na heshima kwa babu yao. Sisi tunapendana, kwa nini wanatuingilia?”

Alisema: “Siku hiyo Hamad wangu alikuja nyumbani kwangu tangu mapema. Nikaandaa chakula cha jioni, tukala pamoja kisha tukalala.
“Tukiwa usingizini, nikasikia mlango unagongwa. Kwenda kufungua, wajukuu zangu wakaingia na kuanza kumpiga Hamad na fimbo na magongo, wakisema eti amenibaka. Hamad atanibakaje? Kwani mimi ni mtoto mdogo?

“Isitoshe wanamfahamu vizuri sana Hamad. Nipo naye mwaka mmoja na nusu sasa, leo inakuwaje wanajifanya hawamjui? Siku hizi mambo yamebadilika. Mdogo anaweza kumpenda mkubwa na mkubwa akampenda mdogo. Hakuna kosa.”

MSIKIE DOGO
Mwandishi wetu alikwenda nyumbani kwa Hamad ambapo alimkuta akiwa hoi kitandani kwa majeraha ambapo alisema: “Ni kweli bibi ni mpenzi wangu... na wale wajukuu zake wananifahamu vizuri sana. Wamenipiga sana, eti nimembaka bibi yao. Siyo kweli. Sisi ni wapenzi.”

Alipoulizwa anajisikiaje kuwa kwenye uhusiano na kikongwe huyo, alijibu: “Hata mimi nashangaa sijui imekuwaje nikampenda. Nimejikuta nipo kwenye uhusiano naye na kwa kweli tunapendana sana.”

WAJUKUU WANASEMAJE?
Mmoja wa wajukuu wa bibi huyo, Margaret Cheba, akizungumza na gazeti hili kuhusu tukio hilo alisema bibi yao amewadhalilisha sana na wanaona aibu kupita mitaani kwa kitendo cha kutembea na Hamad.

“Hili jambo limetufedhehesha sana sisi wajukuu zake halafu hata kimila ni tatizo, hairuhusiwi kabisa. Mbaya zaidi, bibi yetu ni mgonjwa.

Anasumbuliwa na moyo... sio wa kufanya kitendo kama kile kabisa na sisi ndiyo tunamsaidia lakini inashangaza polisi wametubadilikia kabisa,” alisema Cheba.

-Global Publisher Limited

PICHA ZA VITUKO VYA SENETA WA KENYA HIZI HAPA...!

Mike Sonko ni yule Mwanasiasa mwenye vituko ambae alipata umaarufu sana toka akiwa mbunge kwa kuwa na swagg zake kivyakevyake, alikua mbunge kijana ambae anaingia na hereni bungeni, blingbling kibao kama cheni na pete kama anavyoonekana ametupia kwenye hii picha hapa juu akiwa sasa ni Seneta wa jiji la Nairobi.Sasa juzi kati Rais Uhuru Kenyatta alikwenda The Hague Uholanzi kwenye Mahakama ya ICC kwa hiyo Wakenya wenzake wanaopinga huo uamuzi wa ICC na kuona ni usumbufu wakajilipia nauli zao ili kwenda kumsupport ambapo Seneta huyu ni mmoja wa waliojilipia na kulipia wengine pia. Pamoja na Sonko kwenda huko akiwa na dukuduku la kukerwa na maamuzi ya Mahakama hiyo akiitaka imuache Rais wao wa Kenya afanye kazi, aliamua kuvaa tshirt yenye maandishi ya Kiswahili ‘ikiwatusi’ Wazungu kama anavyoonekana kwenye hii picha hapa chini. Kwenye hizi picha hapa chini anaonekana Seneta wa jiji la Nairobi Mike Sonko akiwa amewasili mahakamani ICC na kikosi chake kisha wakafanya maandamano mafupi kabla ya kumpa support Rais Uhuru kwa kuimba wimbo wa taifa na nyimbo za kizalendo wakati kesi ya Uhuru ikiwa inaendelea Mahakani.
Tayari Rais Uhuru Kenyatta amerejea Kenya jana asubuhi na kupokewa na maelfu ya Wakenya ambao hawakupendezwa na kilichofanywa na Mahakama hiyo.

 KAMA BADO UJAJIUNGA NASI ILI KILA TUKIPATA HABARI ZIKUFIKIE KIRAHISI KWENYE FACEBOOK YAKO BOFYA HAPA 

Sunday, October 12, 2014

MICHO AMTEMA OKWI THE CRANES, ASEMA; “NIMELAZIMIKIA KUFANYA HIVYO”

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA wa Uganda, Milutin Sredojevic ‘Micho’ amemuengua kikosini mwake mshambuliji Mganda, Emmanuel Okwi baada ya kuonyesha kiwango cha chini akiichezea The Cranes dhidi ya Togo Jumamosi. Uganda inaondoka jioni ya leo kwenda Togo kwa ajili ya mchezo wa marudiano Kundi E Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika huko Okwi akirudishwa Dar es Salaam akaimarishe kiwango kwenye klabu yake Simba SC. “Ndiyo, nimelazimika kufanya hivyo (kumuacha Okwi),”amesema Micho akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni ya leo kwa simu kutoka Kampala, Uganda. Micho pia amemuacha Nahodha wake, Andy Mwesigwa, ambaye anatumikia adhabu baada ya beki huyo wa FC Ordabasy ya Kazakhstan kufikisha kadi mbili za njano ikiwemo ya jana, Uganda ikilala 1-0 Uwanja wa Namboole. Kikosi cha Uganda kinachoondoka leo ni, makipa; Robert Odongkara na Dennis Onyango, mabeki; Dennis Guma, Godfrey Walusimbi, Savio Kabugo, Isaac Isinde, Martin Kizza na Murushid Jjuuko, viungo ni: Tonny Mawejje, Aucho Khalid, Geoffrey 'Baba' Kizito, Brian Majweja, Kizito Luwagga na Moses Oloya, wakati washambuliaji ni Geofrey Massa (Nahodha), Daniel Sserunkuma, Yunus Sentamu na Brian Umony. Baada ya kutemwa na Uganda, Okwi sasa atalazimika kuwahi kambi yake ya klabu yake, Simba SC nchini Afrika Kusini ambayo imejificha kujiandaa na mchezo dhidi ya watani, Yanga SC Oktoba 18, Dar es Salaam. Okwi anaweza kuondoka pamoja na wachezaji wa Simba SC walio katika timu ya taifa, Taifa Stars mabeki Miraji Adam na Joram Mgeveke na viungo Jonas Mkude, Amri Kiemba, Said Ndemla na Haruna Chanongo. Stars inacheza na Benin jioni hii Dar es Salaam na wachezaji hao wanatarajiwa kuondoka kesho.

HILI NI PIGO LINGINE KUBWA WALILOPATA TIMU YA LIVERPOOL MSIMU HUU

KLABU ya Liverpool imepata pigo lingine baada ya wing wake, Lazar Markovic kutolewa nje akiichezea timu yake ya taifa, Serbia katika mchezo wa kufuzu Euro 2016
dhidi ya Armenia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 alitoka nje baada ya dakika 25 tu baada ya kupata maumivu ya misuli ambayo
yanaweza kumuweka nje hadi mwezi mmoja.

Hilo ni pigo kubwa kwa kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers ambaye wachezaji wake wengi wamekwenda kwenye mechi hizo za kimataifa.

BAADA YA PICHA ZA TRAFIK KUVUJA WAKIPEANA MABUSU KICHAKANI WAKIWA NDANI YA SARE YA KAZI ......! WENGINE HAWA NIMEWANASA

Kutokana na picha zilizovuja hivi kalibuni za Trafiki kupeana mabusu wakiwa ndani ya sare ya kazi na kujipiga picha  kinyume na matakwa yakazi ..

Leo nimeamua kukusanyia baadhi ya picha ya watu au viongozi wanaokula ela zetu za kodi na kufanya mambo ya ajabu tofauti na matakwa yakazi yanayowatuma

Ebu tujifilie mamlaka husika inayohusika na mambo haya wapo wap.

By festosaimon/mdadisiblog

JE UNATUMIA FACEBOOK KWA SANA? HILI NI BONGE LA DILI JIFUNZE HAPA KUVUNA MADOLA KWA KUTUMIA FACEBOOK USIACHE KUSOMA KAMA KWELI UNA SHIDA NA MKWANJA.

Hy Freinds, This is Jimmy Rappe and i’m going to tell you to how to make money using facebook.

Greater than 900 million of men and women using facebook. Many to these in search of the particular great deal of chance of the business along with they want to crank out dollars through facebook. instead of solely facebook would be to connect to friends, share status updates, photos, video clips, online games, talks along with announcements, solely several social networking sites power to generate profits (facebook is usually including throughout it). This is the good results driving zillion facebook users assist for long periods. organization profits along with improves throughout online store income by way of Facebook or myspace discussing is the well-liked 1
Earn Extra Income Online Using FaceBook

Earn Extra Income Online Using FaceBook
There are various connected with strategies companies work with to perform Facebook or myspace business properly.

Facebook or myspace afforded the particular much more easy along with easiest way to talk about sites rapidly using your friends, convenient means of replicating along with pasting a link in your status revise box– you possibly can advertise product internet pages along with promotions wherever, Put in the like switches in your marketing internet pages which often raise users.

Additionally it also improves your web visitors along with fans in an effort to tap into its virus-like advertising potential. If you have a firm internet site, fit this kind of option all over the place – when one particular consumer clicks the idea, you get free of charge exposure to all the user’s friends, you can earn a lot of money throughout a couple of months, by simply ensuring that the particular enjoys go on.

Earn Extra Income Online Using FaceBook
Collect The Email
You established some sort of Zynga advert campaign in promoting a totally free e-book / survey / training course, in substitution for someone’s email address. This could be completed with a webpage theme within OptimisePress, along with a complete coordinator associated with various other application.

Once they enter their email address, they will obtain added to your own list, as well as the initial followup email they will get contains the totally free provide. Always be an active associate and also maintain bringing up-to-date your small business details. Start by becoming a member of teams in which your own focus on shoppers are lively. Look at the problem they will publish usually So that men and women can view your own everyday posts.

Promote your own newest developments and ask for comments from your users. Make certain this photo’s explanation carries a connect to your own landing page to ensure any time men and women click the deal with photograph, they are able to easily click on to your own landing page. This can certainly strengthen your own product sales.
Sell Your Products

Facebook or myspace is now applying as the Marketplace, which functions such as a socially connected version regarding amazon, can even be connected to your small business web page. It is a vacation app intended for offering your current products specifically by way of Facebook or myspace such as tiny online shop and it is employed by millions of customers. this is sometimes a wise decision – specifically in order to make use of the viral marketing and advertising which web 2 . 0 websites can provide.

End users can lookup Marketplace intended for a number of products, yet concern is provided 1st to the users’ buddies as well as shared buddies, who will be a lot more dependable than nameless retailers as well as buyers. One of the better ways to boost how many individuals considering your current web page is to merely add individuals as buddies regardly as you can. Almost all won’t acknowledge, but some will accept.

E
Email address particulars are in addition set up geographically, offering it much more insurance coverage than amazon or Amazon. In addition, Facebook’s convenient for you to primary hook up is a lot swifter than conventional online retailers, as well as smaller businesses will use PayPal as an alternative to more costly credit rating as well as debit minute card processors.

Earn Extra Income Online Using FaceBook
Facebook Ads and Text Messaging

Use commercials, cross-promotion schemes and affiliate marketing online. You’ll discover these people in pertinent groupings and speaking in popular Myspace pages in the party. you need to compose information to all or any concerning your item also to have interaction in the groupings or pages to market your item. That submitted information regarding no cost text message coupon codes to be able to the Myspace fans. sustain your balances fastidiously Enthusiasts which chosen to get in been given a good SMS discount every single day with regard to calendar month.

Although not as likely to build cash using a presented day, you’ll be able to diversify and progressively improve your online earnings by simply offering many promotion solutions to a lot different companies. Adsense can be inserted through iFrames, and a beneficial key consideration with plenty of enthusiasts, is actually next to Google’s TOS. Internet affiliate marketing is a good alternative to popular commercials; my own income source in Myspace is actually generated through Amazon’s affiliate marketing online.
Making Money With an E-book

Find the book using exciting themes. generally select Nonfiction is practically usually a much better decision when compared with fictional. and also make money selling e-books really are a well-known solution, and they also seemingly sell enough to help at the very least offset the difficulty involving producing all of them. add instructions within an photograph about how people could add your current book to their favored textbooks on their personal page. Furthermore sign up for organizations exactly where people who would likely examine your current book tend to be lively.

Earn Extra Income Online Using FaceBook

Ensure a link to your book is actually early in the explanation while using the photograph; specially, help it become a new reduced WEB SITE following only 90 heroes inside your bring up to date.
you possibly can distribute e-books without cost on the Amazon . com internet site. It provides better application security compared to the PDF FILE process, but can’t be specifically distributed through at any place besides Amazon’s internet site. in addition, it possesses a number of compensated providers and also solutions. To optimize your current Facebook income, stay away from all of them. sell your current book with people consideration way too.

SOURCE: WEBS TEACH WE LOVE YOUR SUPPORT LIVE US YOUR COMMENT HERE

JOSHUA AENDELEZA UBABE ULINGONI, AMSIMAMISHA MBABE AMBAYE HAJAKALISHWA MUONGO MZIMA NA KUTWAA TAJI LA WBC

BONDIA Anthony Joshua amemmaliza mpinzani wake Denis Bakhtov katika Raundi ya pili mjini London na kutwaa taji la kimataifa la WBC uzito wa juu.

Mbabe huyo wa Watford ambaye
anafananishwa na bingwa wa zamani wa dunia asiyepingika, Lennox Lewis wa Uingereza pia, sasa amefikisha mapambano
tisa akishinda yote Bakhtov hajawahi kusimamishwa kwa
muongo mzima na amepigana Raundi 250 zaidi ya Joshua, ambaye ana miaka sita tangu aanze ndondi.

JOHARI WA BONGO MUVI AWA GUMZO INSTAGRAM...KWELI HESHIMA YA MTU PESA

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM muigizaji
JOHARI CHAGULA maetupia picha hii (HAPO CHINI) na kuandika hivi:ujio mpya wa johari nikiwa mjasilia mali nauza ndizi dayana # we
saka������ mi nasaka pesa. heshima ya mtu pesa baby baby makelele.

MY TAKE;
Huyu mdada namkubali sana, anauwezo mzuri sana katika uigizaji kwa hapa bongo kwa upande wa wanawake huyu ni KANUMBA wao....KEEP IT UP!!!
Hahaha ni penda upala.....!!!!

HUU NDIO MKAKATIA ALOUPANGA MENINAH KUMSHUSHUA DIAMOND NA WEMA

Stori: Andrew Carlos BAADA ya kuandamwa na skendo kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, mkali wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’ amesema yuko mbioni kumtambulisha mchumba wake.
Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’. Akipiga stori na gazeti hili, Meninah ambaye ni zao kutoka shindano la kuibua vipaji vya kuimba, Bongo Star Search ‘BSS’ 2012 alisema; “Nimechoshwa kila siku kusikia Diamond, sasa ni bora nimtafute mwanaume yeyote tu kisha nimtambulishe ili ijulikane siko na Diamond,” alisema Meninah ambaye yupo mbioni kuachia ngoma mpya ya Kaniganda.
Meninah Abdulkareem ‘Meninah la Divah’ akipozi. Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kuwa Meninah anatoka kimapenzi na Diamond, pia Diamond ameshafika kwao kujaribu kutoa mahari ili amuoe.

JOKATE KUOLEWA NA MSANII HUYU WA MAREKANI

Jokate New buzz is that Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa Tanzania amepata mpenzi mpya baada ya kuwa mpweke kwa mudamrefu sasa baada ya kuacahana na Diamond.

Gossip mpya zinasema kuwa mpenzi mpya wa Jokate ni msanii wa Marekani wa muziki na filamu ingawa bado sio maarufu sana kwani bado anapigana ili kuweka jina lake fresh katika entertainment industry ya Marekani na dunia kwa ujumla.

Chanzo kimoja kilicho karibu na Jokate kimesema kuwa Jokate na jamaa huyo ambaye kipesa sio haba walikutana takribani miezi miwili iliyopita katika studio zaTV moja nchini South Africa ambayo imemwajiri Jokate kama mmoja wa watangazaji wake(Vj) na mahaba yao kuanzia hapo, inadaiwa zaidi kuwa jamaa kamkubali Jokate na wana mipango ya kuishi pamoja kama mke na mume.

Kikizungumza na Swahiliworld jana chanzo hicho ambacho ni rafiki wa Jokate kilisema..

MBEBES MKALI AJIUA KWASABABU YA MAPENZI

MADEE ALAZIMIKA KULIPA FAINI ILI KUMALIZA KESI YA UTEKAJI MTU ILIYOKUWA INAMKABILI

Kesi ya utekaji iliyokuwa ikimkabili Madee imemalizika kwa kulipa faini ya shilingi 50,000. Madee alidaiwa kumteka kijana mmoja huko Kigamboni baada ya kumuibia simu. Hakimu ametoa hukumu ya kifungo cha jela miezi sita au kulipa faini ya kiasi hicho cha fedha. Madee alilipa faini. Madee amezungumza kwa mara ya kwanza tangu apatwe na mkasa huo. “Yule dogo baada ya kuniibia simu tulimgonga kwa nyuma akaanguka tukamwokota na kumbeba kwenye Noah yetu tukaondoka naye. Kesho yake nilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kwahiyo nikaachia masela wampeleke polisi na hapo mimi nilishampigia simu mama yake ili aongee na mwanae aseme simu yangu iko wapi. Simu yangu yenyewe ndio ilikuwa kila kitu. Kwahiyo nilivyoondoka nikiwa sina hata mawasiliano, nikaenda Mwanza nimefanya show, nimerudi Jumatatu asubuhi nikaulizia mtuhumiwa wangu nikaambiwa yupo Magomeni. Nikaenda Magomeni polisi nikaambiwa dogo kahamishiwa Kigamboni,” amesimulia Madee. “Nikaamua kwenda Kigamboni, kwenda Kigamboni nikaambiwa ‘bwana wewe ndo unashtakiwa ukitaka kumteka huyu dogo’ ndio nikawekwa ndani, nikalala siku moja, asubuhi nikadhaminiwa nikatoka kesi ikaenda mahakamani. Mahakamani kesi ikaahirishwa siku ya kwanza siku ya pili ikapita, hukumu nikaambiwa kati ya kwenda jela miezi sita au kulipa faini 50,000. Nikalipa faini na kesi ikaisha. Yaani mimi ndo nimekuwa mwenye kosa, mimi ndo niliyelipa faini.”

MANCHESTER UNITED HII AIBU SASA.

Kitengo cha uchapishaji cha klabu ya Manchester United kimeiingiza kwenye aibu kubwa klabu hiyo mara baada kuchapisha vibaya jina la mchezaji Angel Di Maria kwenye jezi zilizopelekwa dukani kwa madhumuni ya kibiashara. Katika makosa hayo jezi ya mchezaji huyo imekutwa imeandikwa ‘Da Maria’ baada ya Di Maria kama jina lake lilivyo wakati jezi ya mchezaji Radamel Falcao imekutwa ikiwa imeandikwa ‘Flacao’.

Saturday, October 11, 2014

TAARIFA YA KAMATI YA UTENDAJI YA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA ILIYOKUTANA OKTOBA 11, 2014- DAR ES SALAAM

KIKAO cha dharura cha Kamati ya Utendaji
ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF) kimefanyika leo kujadili matukio ya
hivi karibuni, hasa mwenendo wa wadau wa
Bodi ya Ligi. Shirikisho linatoa tamko kwa
umma kama ifuatavyo: .

1.Kamati ya Utendaaji imesikitishwa na
taarifa za upotoshaji kuhusu kanuni mpya
za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), hivyo
inaomba radhi kwa wadau ambao
wameguswa na kusumbuliwa na matukio
hayo.

2.Kufuatia matukio hayo, Sekretarieti ya TFF
kwa niaba ya Kamati ya Utendaji, imefungua
mashtaka kwenye Kamati ya Nidhamu dhidi
ya Dk. Damas Ndumbaro ambaye ni mjumbe
wa Bodi ya Ligi na Mwenyekiti wa Kamati
ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba. Pia wadau
wote waliohusika na upotoshaji huo
wakiwemo wafanyakazi wa TFF na Bodi ya
Ligi watashughulikiwa kulingana na nafasi
zao.

3.Kutokana na madai ya klabu kuhusu
vipengele kadhaa vya Kanuni za Ligi Kuu
2014/15, Kamati ya Utendaji imepanga
kukutana na viongozi wa klabu za Ligi Kuu
siku ya Jumamosi, Oktoba 18 mwaka huu ili
kuwasikiliza na kushauriana kuhusu
changamoto za kikanuni na uendeshaji wa
mashindano kwa ujumla.

4.Kamati ya Utendaji itaendelea kuboresha
Kanuni za Uendeshaji Bodi ya Ligi
(Governing Regulations) ili kuweka uwiano
wa utendaji na kuepusha tofauti kati ya Bodi
ya Ligi, vilabu na TFF. Aidha Kamati ya
Utendaji itafanya kila linalowezekana
kuboresha ligi kwa kuijengea uwezo Bodi ya
Ligi kwa lengo la kuwa na ligi
zinazoendeshwa kisasa (Professional
Leagues).
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA
MIGUU TANZANIA (TFF).