Sunday, October 12, 2014

JOSHUA AENDELEZA UBABE ULINGONI, AMSIMAMISHA MBABE AMBAYE HAJAKALISHWA MUONGO MZIMA NA KUTWAA TAJI LA WBC

BONDIA Anthony Joshua amemmaliza mpinzani wake Denis Bakhtov katika Raundi ya pili mjini London na kutwaa taji la kimataifa la WBC uzito wa juu.

Mbabe huyo wa Watford ambaye
anafananishwa na bingwa wa zamani wa dunia asiyepingika, Lennox Lewis wa Uingereza pia, sasa amefikisha mapambano
tisa akishinda yote Bakhtov hajawahi kusimamishwa kwa
muongo mzima na amepigana Raundi 250 zaidi ya Joshua, ambaye ana miaka sita tangu aanze ndondi.

0 comments:

Post a Comment