Sunday, October 12, 2014

JOKATE KUOLEWA NA MSANII HUYU WA MAREKANI

Jokate New buzz is that Jokate Mwegelo ambaye ni star mkubwa Tanzania amepata mpenzi mpya baada ya kuwa mpweke kwa mudamrefu sasa baada ya kuacahana na Diamond.

Gossip mpya zinasema kuwa mpenzi mpya wa Jokate ni msanii wa Marekani wa muziki na filamu ingawa bado sio maarufu sana kwani bado anapigana ili kuweka jina lake fresh katika entertainment industry ya Marekani na dunia kwa ujumla.

Chanzo kimoja kilicho karibu na Jokate kimesema kuwa Jokate na jamaa huyo ambaye kipesa sio haba walikutana takribani miezi miwili iliyopita katika studio zaTV moja nchini South Africa ambayo imemwajiri Jokate kama mmoja wa watangazaji wake(Vj) na mahaba yao kuanzia hapo, inadaiwa zaidi kuwa jamaa kamkubali Jokate na wana mipango ya kuishi pamoja kama mke na mume.

Kikizungumza na Swahiliworld jana chanzo hicho ambacho ni rafiki wa Jokate kilisema..

0 comments:

Post a Comment