Tuesday, October 14, 2014
 |
| Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya:
“Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa
tunatumia muda mwingi kulumbana na
kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa
wenzetu wa Nigeria wanatushinda kwa mambo
mengi sana sababu wao wanashirikiana na
kusapotiana katika mambo mengi sana na hata
ukiskia wamepishana basi ujue ni kwa ajili ya
biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi
ni kwamba kumekua na makundi mbalimbali
mitandaoni yanayokuza mambo na kusapoti
wasanii kulumbana Mara team simba Mara team
nyani!naingea kutoka. Moyoni kuwa watanzania
tunasifika kwa kuwa na amani na upendo!sasa
iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na
ugomvi badala ya kuishi kwa amani?najua sisi
wasanii tuna mashabiki wengi. Na tunapenda na
nnyie mnatupenda kwahiyo mnatakiwa
kutupatanisha tunapogombana na si kutushabikia
coz mnaposhabikia ugomvvi ndio mnapotufanya
tupoteze muda kulumbana badala ya kutumia huo
muda kufanya kazi zetu za sanaa kwa bidii
tutangaze nchi yetu tunapoteza muda
kulumbana,wenzetu wanaigeria wako mbali sana
kwa sababu wanasapotiana sana!wasanii tuache
bifu za kijinga na tutumie muda mchache
tuliopewa na mola kufanya kazi zetu kwa bidii
tutangaze nchi yetu ili vizazi vijavyo virithi bidii
zetu,na naomba sana mashabiki wote msapoti
mazuri tuyafanyayo”
Ray C ameendelea kusema na kumwomba
msamaha Zamaradi Mketema kama ifuatavyo :
“Love u zama n sorry for everything keep doing
wat u do best @zamaradimketema n hey dogo
langu @wemasepetu and my friend @new_kajala
tusameheane na tupendane na tupige kazi Africa
watutambue bana!!!!!!“
credit : bongoclantz |
0 comments:
Post a Comment