Kutokana na picha zilizovuja hivi kalibuni za Trafiki kupeana mabusu wakiwa ndani ya sare ya kazi na kujipiga picha kinyume na matakwa yakazi ..
Leo nimeamua kukusanyia baadhi ya picha ya watu au viongozi wanaokula ela zetu za kodi na kufanya mambo ya ajabu tofauti na matakwa yakazi yanayowatuma
Ebu tujifilie mamlaka husika inayohusika na mambo haya wapo wap.
By festosaimon/mdadisiblog








0 comments:
Post a Comment