 |
| Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au
ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua
maarufu kama Kidoti huwa wanawavutia
sana Wanaume Smart kutokana na imani
kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika
maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha
mazuri na pia
mwonekaono wao huwavutia wanaume walio
wengi sana na mambomseto tukiwa wamoja
wapo:wewe wavutiwa? |
KAMA BADO UJAJIUNGA NASI ILI KILA TUKIPATA HABARI ZIKUFIKIE KIRAHISI KWENYE FACEBOOK YAKO BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment