| Kitengo cha uchapishaji cha klabu ya
Manchester United kimeiingiza kwenye
aibu kubwa klabu hiyo mara baada
kuchapisha vibaya jina la mchezaji Angel
Di Maria kwenye jezi zilizopelekwa dukani
kwa madhumuni ya kibiashara.
Katika makosa hayo jezi ya mchezaji huyo
imekutwa imeandikwa ‘Da Maria’ baada ya
Di Maria kama jina lake lilivyo wakati jezi
ya mchezaji Radamel Falcao imekutwa
ikiwa imeandikwa ‘Flacao’. |
0 comments:
Post a Comment