Monday, September 22, 2014

UKWEL LAWAMA KWA DIAMOND HAZIEPUKIKI KATIKA HILI, TUWEMO: BURUDANI WASANII

Kutofanyika kwa show ya kimataifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa Diamond jijini Stuttgurt, Ujerumani na kusababisha uharibifu mkubwa, kulichukuliwa na watu wengi kama ajali kazini. Sababu za Diamond kuchelewa kupanda stejini kulikotokana na kudai alipwe fedha yake iliyokuwa imesalia kwa promota, ilikuwa ya msingi kabisa. Na pia kampuni yenyewe iliyoandaa show hiyo ilieleza kwa urefu kilichosababisha na pia kuahidi show ya bure kwa mashabiki wa Diamond. Hilo lilipita na kila upande ukaganga yajayo. Ijumaa hii Diamond alikuwa afanye show nyingine jijini London, Uingereza. Bahati mbaya show hiyo ambayo yeye mwenyewe kama kawaida yake aliipigia promo sana, haikufanyika. Kama ilivyokuwa ya Ujerumani, mashabiki walimsubiri staa huyo kwa masaa kibao wasimuone akitokea. Baada ya kuonekana kunakucha bila dalili ya Diamond kupanda jukwaani, wengi walianza kudai warudishiwe fedha zao. Na kwa mujibu wa mtu aliyekuwepo kwenye show hiyo, polisi walisaidia kurejesha amani katika ukumbi huo, lasivyo yangetokea kama ya Ujerumani. Pia anadai kuwa promota wa show hiyo alikamatwa. “I was there brov it was maad trust me, even police got involved with that shit, they had to calm people down until seven in the morning, people wanted their money back he I’ll pay the price cause he got arrested,” ameandika. Diamond amemtupia lawama promota huyo ambaye si mara ya kwanza kufanya naye kazi na kumuita tapeli. “Tafadhari ndugu zangu wa UK!!!….kuweni makini sana na promoter huyu (Victor – Dj rule) mnaposikia kaandaa show, party au Hafla yoyote…ni vyema kuziepuka na kutohudhuria kabisa kwasababu ni tapeli…. si unajua aisifiae mvua imemnyeshea… basi mie nimeloa kabisa.” Pamoja na kwamba Diamond hana makosa katika hili, hawezi kukweka lawama kutoka kwa mashabiki wake walio na kinyongo naye. Shabiki hatotaka kujua makubaliano kati ya msanii na promota. Anachojua yeye ni kuwa show ilitangazwa kuwa itafanyika na yeye akanunua tiketi kuja kushuhudia. Si kazi yake kutaka kujua kama msanii amelipwa fedha yake ama lah! Kama Diamond alikuwa anamfahamu vyema DJ Rule kuwa si mwaminifu, kwanini alikubali kufanya naye show? Sijui makubaliano yao yalikuwa vipi, lakini kwanini alikubali kulipwa fedha nusu kabla ya kutumbuiza? Ni yaleyale kama ya Ujerumani. Wengi tunamchukulia Diamond kama mfano wa msanii wa Tanzania aliyefanikiwa na tunategemea kuwa makubaliano yake yanapaswa kuwa kwamba promota anatakiwa kumlipa ama fedha nusu, robo tatu au fedha yake yote (kama anamuam ini) na kusaini mkataba unaowafunga wote. Mara nyingi mikataba husema fedha iliyosalia inatakiwa imfikie msanii wiki moja ama siku chache kabla ya show. Wengine hukubaliana fedha hiyo alipwe msanii pindi anapowasili katika mji huo ama anapofika hoteli. Ninafamu kuwa Diamond na timu yake wako smart mara nyingi lakini nash indwa kupata jibu la kwanini makosa kama haya yanaendelea kutokea tena katika show za kimataifa. Kuna uwezekano mkubwa kama hajapoteza mashabiki wengi, basi heshima waliyokuwa nayo kwake imepungua. Yeye na timu yake wanapaswa kuwa smart na kusaini mikataba ya show isiyokuwa na ahadi za kupeana fedha ili yobaki siku ya show. Promota wanapaswa kujipanga na wanapotafutwa na promota wenye longolongo wasiwe na aibu kuwakatalia moja kwa moja kutunza heshima yao. Matukio kama haya yanaweza kuwa mabaya kwa biashara pia kwakuwa baadhi ya promota wa kimataifa hawapendi kufanya kazi na wasanii wenye CV mbaya kat ika show zao zilizopita. Haya ni baadhi ya maoni ya watu mbalimbali yanayofanana kiasi na ya kwangu. kiswigogodfrey Play back concert 2 times inabuma hiyo ni kukosa management imara yenye kusimamia mikataba yako. Umetoka bongo hadi UK bila kujua mikataba yako. Hilo fans wako haliwahusu wao ni burudani ndio haki yao hayo mengine utajijua na promota wako. Na kama jamaa amekupiga kama ulivyo post ni vzr ukafuata taratibu za kisheria ndio zitoe hukumu na ukishinda ndio umwanike kwenye social network.Kama hujafanya hivyo tegemea kesi ya madai kutoka kwa mshikaji ingawa umeshapata hasara kwa kukosa umakini na management yako, it’s over. jamal_huwel Men mara ya pili hii hebu badilisha system ya mikataba yako. Pokea angalau 60% of the cash kabla ya shoo. Watakuharibia mtaalamu wetu tutakosa talent yako tena Allykikasha PLZ PLZ PLZ READ THIS….DIAMOND wewe ushakuwa msaani wa kimataifa na watu nao wanakufahamu,, jaribu kutafuta timu ya uhakika mtu anayejua ishu ya marketing professionally,, uwe na mwanasheri hata yule wa kumlipa tu pale unapoingia mkataba,, achana na waki BABU TALE wao umeneja wao ni wa show za mikoani tuu,, then hana creativity yoyote zaidi ya kuwanufa isha,, jaribu now to change,, uwe na watu wenye uwelewa na kitu unachokifanya,, Germany imetokea ,, then BAB TALE anasema eti imesaidia kukutangaza,, very stupid comment then ISSUE SIO PROMOTERS ITAFIKIA SIKU FANS NOW WATAONA KILA SHOWS ZAKO NI ZA KITAPELI ,, PEOPLE THEY CHANGE. carryandy Acha kuwatangazia mashabiki wako show kabla hujalipwa hela kamili, vinginevyo unajiharibia biashara 2nd time hii, hujajifunza tuu? Na sijui kama unakuwa na makubaliano ya maandishi kabla hujajiingiza kuwambia fans wako utkuwa somewhere. , jipange utaja pata matatizo makubwa nchi za watu hizo oh! rayna_rayna_ Mmmhh um not sure kama anaweza kukufanyia ivyo maybe umeenda bila contract ndo mana imetkea yote..next tym jipange na team yko najua jamaa ni mtu mkubwa and also unaweza kwenda mshitaki ubalozini kwa kukupotezea mda na kukupotezea issue maybe it will help callyrissanen Pia kuwa makini chibu. Hao police wa nchi za wenzetu wakifanya mawasiliano unaweza hata huko germany ushindwe kufanya show. Tafuta mwanasheria wa hiyo mikataba yako. Na uwe unamaliziwa kulipwa pesa za show unapofika tuu kwenye nchi husika, msisubiri hadi muda wa onyesho ndio muanze kudaiana. Inakuwa rahisi kutoa tamko kwa mashabiki mapema kama hutohudhuria mapema iwezekanavyo ili wasisumbuke irymamur_de_star Inaonekana management yako haipo makini kabisa kwan inatokea nn?? hadi mtu anakutapeli cc mashabiki zako tunaumia xana kuckia ivyo na maswal mengi juu ya hilo kwan thamani yako ya show za nje inapungua xaxa kuwa makini na hao bakoharam sio watu wazuri kwako na huyu jamaa xaxa mi si oni kazi yake @babutale mi nakupa pole xana kwailo!!!! ila hujafafanua vzur juu ya hilo tujue ilikuaje yani tujue mwanzo mwisho kwa maelezo kwan tunahaki kama mashabiki zako pendwa!!!!

Posted via Blogaway

MARIO BALOTELLI ASHAMBULIA BAADA YA KUIBEZA MANCHESTER UNITED KWENYE MTANDAO WA TWITTER!

Balotelli has been racially abused on Twitter after he mocked Manchester United's 5-3 defeat at Leicester City. Hate-filled social media users targeted the Liverpool and Italy striker after he goaded the Red Devils with a tweet which simply read: 'Man utd ... LOL.' One vile tweeter, known only as iMonko, wrote: 'Monkey, monkey, monkey, monkey, monkey.' Another, using the Twitter handle Maroc, tweeted: 'You're a f*****g monkey. 'Oo Oo ah ah.' And once particularly disgusting tirade read: @F**k you Mario you f*****g n****r. 'Go eat some bananas and get ebola you dirty monkey.'

Posted via Blogaway

UNAJUA KUWA FALCAO AKIFANYA HIVI MKATABA WAKE UNAVUNJWA MAN UNITED

KLABU ya Manchester United inaweza kumrudisha Radamel Falcao katika klabu yake, Monaco iwapo ataumia goti lililomfanya awe nje ya Uwanja kwa muda mrefu msimu uliopita. Mshambuliaji huyo Colombia amehamia Old Trafford kwa mkopo wa Pauni Milioni 6 mwaka mmoja akikamilisha uhamisho wake siku ya mwisho na analipwa wastani wa Pauni 300,000 kwa wiki. Lakini United katika kuhakikisha uwezekezaji huo hauwi wa hasara, katika Mkataba wao wakaweka kipengele cha kumrudisha iwapo ataumia tena.

Posted via Blogaway

Hatimaye Vanessa Mdee Afunguka Kuhusu Mahusiano ya Kimapenzi na Mwanamuziki Jux

Vanessa Mdee aka Vee Money amekanusha tetesi zilizopo kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muimbaji wa ‘Nitasubiri’ Jux. Siku za hivi karibuni, Vanessa na Jux wamekuwa karibu kiasi cha watu kuhisi kuwa ni wapenzi. “ ,” amesema Vanessa aliyecheka baada ya kuulizwa swali hilo. Unajua labda watu hawafahamu tu lakini mie na Jux tumefahamiana muda sana na ni mtu ambaye huwa tunashauriana hasa mambo ya kazi zetu “ . Ni rafiki yangu wa muda sana sasa hivi. Unajua watu wakikuona upo na mtu karibu tu lazima watasema. Mwanzo walisema Ommy Dimpoz sababu ya ile nyimbo ya Me and You. Mara wakasema Gosby kipindi kile ilipotoka ile nyimbo ya Monefere

Posted via Blogaway

BAADA TU YA KUHAMIA LIVERPOOL HII NDO GARI ANAYOTUMIA! INAUZWA MILIONI 650 ZA KIBONGO. ICHEKI HAPA

Wanasema tumia pesa ikuzoee na hiki ndo alichokifanya mchezaji mpya wa Liverpool Mario Baloteli wakati akiwasili katika uwanja unaotumiwa kwa mazoezi na Timu ya Liverpool. Baloteli aliingia uwanjani hapo akiwa na gari aina Ferrari F12 Berlinetta ambayo inauzwa Pound 240,000 ambazo ni sawa na milioni 652 zakibongo. Baloteli pia anamiliki gari nyingine aina ya Bentley GT ambayo inauzwa zaidi ya milioni 450 za kibongo. Baloteli ameamia Liverpool akitokea timu ya Ac Milan ambako alikua akichezea.

Posted via Blogaway

Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

habari mpya zinasema kuwa vikao vya harusi ya Diamond na Meninah ambaye ni mwanamuziki wa Bongo fleva vimeanza kimya kimya nyumbani kwa mama Diamond huku mmoja wa wahudhuriaji wakiwa ni mama Diamond mwenyewe na Queen Darling ambaye ni dada wa Diamond.Kwa mujibu waBaabkubwa magazine paparazzi wake alienda nyumbani kwa Diamond hivi juzi kati kufanya nae mahojiano hata hivyo hakumkuta Diamondlakini alimkuta mmoja wa watu wake wa karibu ambaye yupo pia upande wa WemaSepetu.Chanzo hicho kilimwaga news kuwa hakuna cha ndoa ya Diamond na Wema bali ndoa inayopangwa kwasasa ni ya Diamond na Meninah na vikao vimeanza kwa mama Diamond. Chanzo hicho kilisema kuwa Diamond na Meninah walikutana takribani miezi mitano iliyopita wakati wa maandalizi ya tuzo za Kili Awards 2014 ambapo wote walitumbuiza. Baada ya hapo wakaingia mapenzini kimya kimya mpaka wiki za hivi karibuni gazeti moja lilipovujisha habari hizo za mahaba ya Diamond na Meninah na media nyinmgine kuziandika kwa kasi.MeninahKwa mujibu wa chanzo hicho ni kuwa Wema ametoswa sababu ya kuendekeza pombe inayompelekea kuwa mvivu na kutotaka kufanya kazi badala yake ni starehe tupu, kwa maana kuwa hata nyumbani kwa mama Diamond haendi mara kwa mara kumsalimia inaweza hata kupita miezi 3 hajaenda ila Meninah anaenda na akifika kule humsaidia mama Diamond kazi, kupika na kupakua. Chanzo hicho kimesema kuwa hata Wema anajua kuwa Diamond na Meninah wana ishara zote za kuwa wapenzi lakini hana cha kufanya, huku Meninah yeye akiwa tayari amejitoa muhanga kwa Diamond lakini anawaogopa Team Wema kumshambulia hasa kwa mvua za matusi kama ilivyo kawaida yao lakini mama Diamond anampoza kuwa asiwe na shaka yeye kamkubali Diamond hawezi kukataa kumuoa hilo amuachie yeye mama Diamond.Vikao hivyo licha ya kuhudhuriwa na mama Diamond na Queen Darleen, chanzo hicho kimesema pia kuwa kuna ndugu wengine wa Diamond na mama Diamond wanahudhuria ila yeye hawajui sababu hana ukaribu nao.

Posted via Blogaway

EPL: Matokeo ya Man City vs Chelsea haya hapa

Baada ya Man United kupokea kipigo kutoka kwa Leicester City, miamba mingine ya ligi kuu ya Uingereza Chelsea ilijitupa uwanjani kucheza na Manchester City. Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Etihad umeisha kwa matokeo ya sare 1-1. Dakika chache baada ya Pablo Zabaleta kutolewa kwa kadi nyekundu Chelsea walipata goli la kwanza kupitia mchezaji aliyetokea benchi Andry Schurrle. Akitokea benchi mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard aliunganisha krosi ya James Milner na kuisawazishia Man City. Mpaka mpira unamalizika Man City 1-1 Chelsea.

Posted via Blogaway

Sunday, September 21, 2014

Manchester City Kuchuana na Chelsea

Kiungo wa kati wa timu ya manchester City
katika ligi ya soka ya Uiungereza Yaya Toure
amesema kuwa mabingwa watetezi wa ligi hiyo
ni sharti waonyeshe umahiri wao wakati
watakapochuana na Chelsea baadaye siku ya
jumapili.
Mancity ambao walishindwa kwa bao moja kwa
sufuri dhidi Mabingwa wa Ujerumani Bayern
Munich katika mechi za kuwania taji la kilabu
bora barani ulaya wamewachwa kwa pointi sita
na Chelsea ambao kwa sasa wanaongoza ligi
hiyo.
Wachezaji wa Liverpool
Wakati huohuo timu ya liverpool ilipoteza mechi
yake ya tatu kati ya tano ilizocheza katika ligi ya
Uingereza msimu huu baada ya West Ham
kuicharaza mabao matatu kwa moja katika
uwanja wa nyumbani wa Upton Park.
Mabao ya mapema ya West Ham yaliofungwa na
Winston Reid na Diafra Sakho yaliichanganya
Liverpool ambayo ilipata bao la kufuta machozi
kupitia Raheem Sterling.
Katika matokea ya mechi nyingine arsenal
iliirindima Aston Villa mabao matatu kwa bila
ugenini.
Southanmpton nayo ikaifunga Swansea bao moja
lililoingizwa kimywani na mchezaji wa timu ya
taifa ya kenya Victor Mugubi Wanyama huku QPR
ikitoka sare ya mabo mawili kwa mawili dhdi ya
Stoke City.

HIVI NI VITU USIVYOVIFAHAMU KUHUSU MSANII THEA WA BONGO MUVI!

Mpenzi msomaji wa safu hii ya Exclussive Interview baada ya kumaliza kusoma historia ya maisha ya msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma, leo tunakuletea msan i i mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’.Thea amefunguka mengi kuhusiana na maisha yake ya sanaa, karibu uinjoi mahojiano:Msanii mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa‘Thea’. HISTORIA KWA UFUPI Nimezaliwa mwaka 1982 mkoani Shinyanga, nimepata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Igunda iliyopo Kahama ambapo nilisoma mpaka darasa la tatu na baada ya hapo nilihamia Shule ya Msingi Mapambano-Sinza, jijini Dar na kufanikiwa kuhitimu darasa la saba. SEKONDARI Baada ya kuhitimu nilijiunga na kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Zanaki ambako nilisoma kwa mwaka mmoja tu na kuhamia Sekondari ya Gorio ambako nako nilisoma kwa mwaka mmoja nikahamia Kijitonyama ambako nilimalizia kidato cha tatu na cha nne. APATA UJAUZITO Baada ya kuhitimu k i dato cha nne niliendelea kusoma masomo ya Pre Form Five lakini ndoto zangu zilikwamia hapo baada ya kupata ujauzito. BAHATI MBAYA Ilitokea bahati mbaya tu na sikuona sababu ya kutoa mimba ndiyo nikaamua kuzaa na nikapata mtoto wa kiume ambaye kwa sasa baba yake alimchukua anasoma Dubai. Mimba hiyo niliipata mwaka 2003 nikiwa najiandaa na masomo ya kuingia kidato cha tano, nilipata ujauzito na kuamua kuzaa ambapo nilipata mtoto wa kiume anayejulikana kwa jina la Maron Bimpela. HAWAKUWA NA MALENGO YA NDOA Sisi hatukuwa na malengo ya kuoana bali nilipopata ujauzito na kujifungua baba mtoto ali endelea kumtunza mtoto mpaka alipokuwa mkubwa akaja kumchukua, ndoto zangu za kusoma ziliishia hapo. RASMI KWENYE SANAA Baada ya kujifungua sikuendelea tena na masomo bali niliendelea na sanaa kwani tangu nikiwa kidato cha nne nilikuwa nafanya sanaa hivyo niliingia rasmi. AKUTANA NA CHIKI Kwa mara ya kwanza kabisa Chiki Mchoma ndiye aliyenichukua akanipeleka kwenye kundi lililokuwa linajulikana kwa jina la Tunda. MCHEZO WAKE WA KWANZA Mchezo wa kwanza kushiriki na kurushwa Runingani uliitwa Ulimwengu wa Vi jana ukweli siku hiyo sikulala kutokana na furaha niliyokuwa nayo. Kwenye kundi hilo nilidumu kwa muda mfupi sana, kama miezi tu. AJIUNGA NA MAMBO HAYO Baada ya hapo nilijiunga na Kundi la Mambo Hayo baadaye Kaole na hapo mpaka sasa naendelea kucheza filamu ambapo nina filamu za kwangu mwenyewe sita na nyingine zaidi ya 40 za kushirikishwa. UHUSIANO NA BABA MTOTO Baada ya kujifungua sikuendelea na uhusiano na baba mtoto wangu. Uhusiano uliokuwepo ni kwamba alikuwa akimlea mwanaye tu na baada ya kukua ndipo akamchukua. AACHANA NA WANAUME Baada ya kupata mtoto wangu nilitulia na kumlea na sikuwahi kujihusisha kimapenzi na mwanaume yeyote.Nilikaa miaka mingi sana mpaka nilipokuja kukutana na Michael Sangu ‘Mike’, tukafunga ndoa. WALIVYOKUTANA Mimi na Mike tulikuwa kwenye kundi moja ambapo nilikuwa namuita kaka na yeye ananiita mdogo wake lakini alikuwaga ananitania kwamba lazima atanioa nikawa naitikia kiutani tu. Yaani sikuwa hata na wazo la kuolewa na msanii na nilikuwa nimeshaapa kwamba sitaolewa na msanii sijui ni kitu gani kilitokea maana Mike nilikuwa n i memzoea namuita kaka tukawa tunapiga stori sana lakini kila wakati alikuwa akiniambia atanioa nikawa namjibu sawa.

MAAJABU ONA HUYU MWANAMKE MAJANGA YALIOMKUTA BAADA YA KUOLEWA NA MNIGERIA

Crystal Ellis Owonubi (pictured Below) lives in Jos with her family. She has been sharing her story with other Americans and people in the world at large via a popular Facebook page ‘Mixed and Happy: Her story below…… I grew up in Bauxite, Arkansas. I have lved in Nigeria for the past 7 years with my husband. We have two children together. We have been married for 12 years now. My father has never met my husband and has refused to accept my children also. When I had my first baby, a little girl that is now 12 years old. I called my father and said that I wanted to come and see him for Christmas with my baby. He said, “I don’t want any black people in my home!” and hung up the phone! I grew up in an all white school with only one mixed girl in the school. I was treated horribly in school because I dated a black boy that lived in the next town at the age of 16. My father told me that he would disown me and to this day, I have never received a phone call from him. I was called nigger lover in school and nobody wanted to sit by me. I knew what it felt like to be rejected. I was sent away to several different homes for troubled children because my mother did not want me to be with a black person. She would lock the phone up in her room. But, today I live in the blackest nation, Nigeria. And today I am happy that I did not end up racist like them or should I say ignorant.” READ MORE√√√√

 CLICK HERE 

DIAMOND ATAKA WEMA AMZALIE MTOTO. . . WEMA SEPETU AKATAA KWA KUOGOPA KUPOTEZA UMAARUFU

Diamond Platnumz kwa muda sasa amekuwa akimwambia mpenzi wake Wema Sepetu abebe mimba kwasababu yeye anataka mtoto lakini Wema amekuwa mgumu kukubali kudungwa mimba na Diamond kwasasa kwa madai kuwa hayupo tayari kuzaa muda huu sababu ikiwa ni kuwa atapoteza mvuto wake kiumbo na pia kuchuja kiumaarufu, kitu ambacho hakitaki. Chanzo kilicho karibu na Wema na Diamond kimeiambia Mpekuzi kuwa: "Ni muda sasa Diamond anataka mtoto tatizo Wema hataki, anaogopa kushuka umaarufu na pia kupoteza umbo lake lenye mvuto. "Kitendo hicho kimemuweka njia panda Diamond kwa sababu pesa anayo ya kutosha kulea mtoto ila haelewi kwanini Wema hataki wapate mtoto eti kwa kisingizio cha kupoteza fame yake na umbo" Hata hivyo Diamond juzi kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii aliweka post inayoshabihiana na maelezo ya chanzo hicho. Diamond ni kama alikuwa amerusha Dongo hilo kwa Wema kwa kuandika ... SOMA ZAIDI UKIBOFYA HAPO CHINI

 BOFYA HAPA 

MBEBE WA UKWELI APANGA MIJAMAA KUMI NA MOJA KWA TAMAA ZAKE

Ukimuona kwa macho utasema huyu ndio mwanamke kumbe ni bonge la kimeo… ilikuwa mida ya jioni natoka zangu kazini mara ikaingia massage..baby uko wapi nimekumiss…nikamjibu ndo natoka kazini now..yeye..Basi naomba upitie nyumbani japo nikuone nimekumiss sana we mwanaume. Nikaona isiwe shida ngoja nikamuone roho yake itulie nipo njiani wazo likanijia… Nikapitia duka moja maarufu Sinza na kumnunulia zawadi ya viatu kama suprize nimejikoki mwenyewe naenda kwa babybaby… mademu bwana..! Kufika akanipokea kwa bashasha na mabusu motomoto dady’s home..Yeye.. najua umechoka baby wangu kaa kwa kochi upumzike nataka nikutengenezee juice fresh unayo ipendaga..nikamwambia ngoja kwanza nikupe zawadi yako nikatoa vile viatu na kumpatia akafurahi sana na kuvijaribisha..vilimtosha na kumpendeza..Nikapewa busu lingine la sekunde kazaa.,BOFYA HAPO CHINI KUSOMA ZAIDA√

 BOFYA HAPA KUSOMA ZAID 

DUNIA IMEKWISHA: LIVE..MTOTO WA MCHUNGAJI, BINTI MWANAKWAYA KANISANI WANASWA KICHAKANI

Wanakwaya wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Hanipher na Godfrey (mtoto wa mchungaji) walionaswa wakiwa kichakani. kama nimeokooka, utantambuaje kama namuheshimu Mungu…” Wimbo huu wa Injili ulioimbwa na Bony Mwaitege wengi hupenda kuusikiliza kama burudani lakini una ujumbe mzito hasa kwa wale wanaosema wameokoka.Hivi karibuni mjini Iringa, wanakwaya wawili wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, mwanamke alijitambulisha kwa jina moja la Hanipher na mwanaume aliyesema anaitwa Godfrey, walinaswa usiku kichakani katika mazingira yaliyojaa utata, Risasi Jumamosi linakupa kisa kamili. Tukio hilo la kushangaza, lilijiri kwenye eneo la Makanyagio ambalo lina makaburi ya awali katika Manispaa ya Iringa licha ya kuwepo na nyumba za wenyeji pia. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wanakwaya hao walinaswa na sungusungu ambao siku za hivi karibuni wamekuwa wakifanya ‘patroo’ katika eneo hilo na la Isoka kufuatia kuwepo kwa matukio ya wakazi wake kuvamiwa, kupigwa na kuporwa mali. Siku ya tukio, sungusungu hao wakiwa katika majukumu yao waliwaona wanakwaya hao wakiacha njia kuu na kuchepukia porini umbali unaokadiriwa kuwa mita 20 kutoka barabarani. “Ilibidi sungusungu wawafuate hadi kule kichakani, ndipo walipowakuta katika mazingira tata na yenye maswali mengi bila majibu. Mbaya zaidi, yule mwanamke alikuwa na mtoto wa mwaka mmoja mgongoni,” kilisema chanzo chetu.BOFYA APO CHINI KUSOMA ZAIDI>>

 BOFYA HAPA  

null

HII NDO KALI WALIOTOA MASHABIKI WA NEWCASTLE KUHUSU KOCHA WAO

MASHABIKI WA NEWCASTLE UNITED WAMEENDELEA NA KAMPENI YAO YA MAKUSUDI AMBAYO INAFANYIKA MJI MZIMA, WAKITAKA KOCHA WAO ALLAN PERDEW AFUKUZWE MARA MOJA. NI KAMPENI KUBWA AMBAYO PAMOJA NA MATOKEO YANAVYOKWENDA KWA KIKOSI CHAKE, HUENDA AKAFUKUZWA KWELI.

EPL: Matokeo ya Arsenal vs Aston Villa haya hapa

Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti nchini humo. Arsenal wakiwa ugenini Villa Park, walicheza dhidi ya Aston Villa, mayokeo ni ushindi kwa Gunners wa magoli 3-0. Magoli ya Mesut Ozil, Danny Welbeck na goli la kujifunga la Aly Cissokho – yalikamilisha ushindi wa kwanza kwa Arsenal tangu waliposhinda dhidi ya Crystal Palace katika mechi ya kwanza. Timu zilipangwa kama ifuatavyo- Aston Villa 4-3-3: Guzan 6; Hutton 6.5, Senderos 6, Clark 6, Cissokho 6; Cleverley 6.5, Sanchez 6 (Bacuna 86min), Delph 7; Weimann 6 (Grealish 46, 6), Agbonlahor 6.5, Richardson 6 (N’Zogbia 77) Booked: Clark Subs not used: Given, Okore, Cole, Lowton. Manager: Paul Lambert 6 Arsenal 4-2-3-1: Szczesny 7; Chambers 6.5, Mertesacker 7, Koscielny 7, Gibbs 7; Arteta 6.5, Ramsey 7 (Wilshere 78); Oxlade-Chamberlain 7 (Rosicky 78), Ozil 8, Cazorla 7; Welbeck 7.5 (Podolski 78) Booked: Chambers, Ramsey, Wilshere Subs not used: Ospina, Diaby, Sanchez, Coquelin

WADADA WA MJINI JE MPO TAYARI KUVAA NGUO HII???? ICHEKI HAPA

Siku hizi kumekuwa na mavazi ya kila aina yanavaliwa na madada zetu, sasa kwa vazi hili je unaona yupo sahihi?

HIVI NI VITU ADIMU ALIVOVIFANYA DANNY WELBECK JANA ARSENAL

HIVI NI VITU ADIMU ALIVOVIFANYA DANNY WELBECK LEO HII ARSENAL

Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck (katikati) akipiga mpira kitaalamu katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Aston Villa mbele ya mabeki Alan Hutton (kulia) na Senderostry. Welbeck alifunga bao moja katika ushindi wa 3-0 leo.
Welbeck akiifungia Arsenal dhidi ya kipa wa Villa, Brad Guzan
Kiungo wa Villa, Carlos Sanchez akijaribu kumdhibiti Welbeck

Kilichoikuta Yanga JANA dhidi ya Mtibwa Sugar na matokeo yote ya VPL haya haya

Wiki moja baada ya kuifunga klabu bingwa ya Tanzania Bara Azam FC kwa magoli 3-0 kwenye mchezo wa ngao ya hisani, leo hii watoto wa Jangwani Dar Young Africans wamekutana na kisanga kizito kutoka kwa Mtibwa Sugar. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Manungu mjini Morogoro umeisha kwa Yanga kutandikwa 2-0 na vijana wa Mecky Mexime. Magoli ya Mtibwa yalifungwa na Mussa Hassan Mgosi katika dakika 15, kabla ya Ame Ally kuandika goli la pili dakika ya 82 ya mchezo huo. Katika mchezo huo wa leo shujaa wa Yanga katika mechi dhidi ya Azam FC mbrazil Jaja alikosa penati. Matokeo mengine kwenye ligi hiyo ni kama ifuatavyo: Stand 1-4 Ndanda, Azam 3-1 Polisi Moro, Prisons 2-0 Ruvu Shooting, Mgambo 1-0 Kagera, Mbeya City 0-0 JKT Ruvu