Monday, September 22, 2014
 |
| Wanasema tumia pesa ikuzoee na hiki ndo
alichokifanya mchezaji mpya wa Liverpool
Mario Baloteli wakati akiwasili katika
uwanja unaotumiwa kwa mazoezi na Timu
ya Liverpool. Baloteli aliingia uwanjani
hapo akiwa na gari aina Ferrari F12
Berlinetta ambayo inauzwa Pound 240,000
ambazo ni sawa na milioni 652 zakibongo.
Baloteli pia anamiliki gari nyingine aina ya
Bentley GT ambayo inauzwa zaidi ya
milioni 450 za kibongo. Baloteli ameamia
Liverpool akitokea timu ya Ac Milan
ambako alikua akichezea. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment