Monday, September 22, 2014
 |
| KLABU ya Manchester United inaweza
kumrudisha Radamel Falcao katika klabu
yake, Monaco iwapo ataumia goti
lililomfanya awe nje ya Uwanja kwa muda
mrefu msimu uliopita.
Mshambuliaji huyo Colombia amehamia Old
Trafford kwa mkopo wa Pauni Milioni 6
mwaka mmoja akikamilisha uhamisho wake
siku ya mwisho na analipwa wastani wa
Pauni 300,000 kwa wiki.
Lakini United katika kuhakikisha
uwezekezaji huo hauwi wa hasara, katika
Mkataba wao wakaweka kipengele cha
kumrudisha iwapo ataumia tena. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment