Sunday, September 21, 2014
 |
| Diamond Platnumz kwa muda sasa
amekuwa akimwambia mpenzi wake Wema
Sepetu abebe mimba kwasababu yeye
anataka mtoto lakini Wema amekuwa
mgumu kukubali kudungwa mimba na
Diamond kwasasa kwa madai kuwa hayupo
tayari kuzaa muda huu sababu ikiwa ni
kuwa atapoteza mvuto wake kiumbo na pia
kuchuja kiumaarufu, kitu ambacho
hakitaki.
Chanzo kilicho karibu na Wema na
Diamond kimeiambia Mpekuzi kuwa:
"Ni muda sasa Diamond anataka mtoto
tatizo Wema hataki, anaogopa kushuka
umaarufu na pia kupoteza umbo lake lenye
mvuto.
"Kitendo hicho kimemuweka njia panda
Diamond kwa sababu pesa anayo ya
kutosha kulea mtoto ila haelewi kwanini
Wema hataki wapate mtoto eti kwa
kisingizio cha kupoteza fame yake na
umbo"
Hata hivyo Diamond juzi kupitia akaunti
zake za mitandao ya kijamii aliweka post
inayoshabihiana na maelezo ya chanzo
hicho. Diamond ni kama alikuwa amerusha
Dongo hilo kwa Wema kwa
kuandika ... SOMA ZAIDI UKIBOFYA HAPO CHINI |
BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment