Monday, September 22, 2014
 |
| Vanessa Mdee aka Vee Money amekanusha
tetesi zilizopo kuwa ana uhusiano wa
kimapenzi na muimbaji wa ‘Nitasubiri’ Jux.
Siku za hivi karibuni, Vanessa na Jux
wamekuwa karibu kiasi cha watu kuhisi
kuwa ni wapenzi.
“
,” amesema Vanessa
aliyecheka baada ya kuulizwa swali hilo.
Unajua labda watu hawafahamu tu lakini
mie na Jux tumefahamiana muda sana na
ni mtu ambaye huwa tunashauriana hasa
mambo ya kazi zetu
“
.
Ni rafiki yangu wa muda sana sasa hivi.
Unajua watu wakikuona upo na mtu karibu
tu lazima watasema. Mwanzo walisema
Ommy Dimpoz sababu ya ile nyimbo ya Me
and You. Mara wakasema Gosby kipindi
kile ilipotoka ile nyimbo ya Monefere |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment