Sunday, September 21, 2014
|
Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck
(katikati) akipiga mpira kitaalamu katika
mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Aston
Villa mbele ya mabeki Alan Hutton (kulia) na
Senderostry. Welbeck alifunga bao moja
katika ushindi wa 3-0 leo. |
|
Welbeck akiifungia Arsenal dhidi ya kipa wa
Villa, Brad Guzan |
|
Kiungo wa Villa, Carlos Sanchez akijaribu
kumdhibiti Welbeck |
0 comments:
Post a Comment