KAMA BADO UJAJIUNGA NASI BOFYA HAPA
Posted via Blogaway
MDADISIBLOG
KAMA BADO UJAJIUNGA NASI BOFYA HAPA
Hatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya imeanza kwa kupangwa kwa makundi ya michuano hiyo ambapo tukio la upangwaji wa makundi haya umefanyika kwenye jiji la Monaco, Ufaransa na mpango wote ndio umekua hivi.
Kundi A
Atletico Madrid
Juventus
Olympiakos
Malmo
Kundi B
Real Madrid
Basel
LIVERPOOL
Ludogorets
Kundi C
Benfica
Zenit St Petersburg
Bayer Leverkusen
Monaco
Kundi D
ARSENAL
Borussia Dortmund
Galatasaray
Anderlecht
Kundi E
Bayern Munich
MANCHESTER CITY
CSKA Moscow
Roma
Kundi F
Barcelona
Paris St-Germain
Ajax
Apoel Nicosia
Kundi G
CHELSEA
Schalke
Sporting Lisbon
Maribor
Kundi H
Porto
Shakhtar Donetsk
Athletic Bilbao
Bate Borisov
Kujiunga nasi BOFYA HAPA
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG HII ILA TUNAOMBA UJIUNGE NASI KWA KUBOFYA HAPA
| Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya. Ronaldo aliyeisaidia Real Madrid ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wachezaji wawili wa Real Madrid, Arjen Robben na Manuel Neur. |
Habari zingine BOFYA HAPA
Habari zingine BOFYA HAPA
Habari zingine BOFYA HAPA
Habari zingine BOFYA HAPA
Kwa mara ya kwanza mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusiana na uhusiano wake na Lionel Messi na kusema anamheshimu hasa juhudi zake za kutaka mafanikio kama mchezaji pamoja na klabu yake ya Barcelona.
SWALI. Baada ya miaka mitano sasa na Real Madrid, umechoka kulinganishwa na Messi au umejifunza jambo?
JIBU. Ni sehemu ya kazi tu kama vile ambavyo kwenye mashindano ya langalanga (Formula 1), watu wanafananisha kati ya Ferrari na Mercedes. Haya yamekuwa maisha yangu hapa Madrid, lakini najua mambo yanabadilika na hata nilipokwenda Manchester kulikuwa na mengine tofauti.
SWALI. Kumekuwa na taarifa kwamba uhusiano wako wewe na Messi nje ya mpira umekuwa si mzuri?
JIBU. Si kweli, sisi ni marafiki, ni marafiki kazini. Binafsi sina rafiki nje ya mpira, pia sina urafiki na Messi nje ya mpira. Anajitahidi kufanya makubwa katika klabu yake na timu ya taifa, sawa ninavyofanya mimi. Tunachezea timu zenye upinzani mkubwa na huenda ushindani huo unafanya watu wayakuze hayo mambo.
SWALI. Unafikiri wewe na Messi, siku moja mtakutana, mkae na kuanza kujadili haya yaliyotokea huku mkiangua vicheko kwa furaha?
JIBU. Nafikiri inawezekana, soka ni mchezo wa furaha, soka ni kitu kikubwa na unaweza kuufananisha na saa. Ndiyo maana nashauri kuwaangalia wapinzani kwa jicho la mafanikio na kukubali wanachofanya kwa vile ni kitu kizuri.
Source millardayo
Hungana na familia ya kihabari kwa ku BONYA HAPA
Ungana na familia ya habari kwa ku BOFYA HAPA