Thursday, August 28, 2014
 |
| Mara chache zinapotoka stori za mtu
kutaperiwa na mtu akidhani labda ni star
fulani alikua akiwasiliana nae kiasi hadi cha
kumuamini na kumtumia pesa lakini
anapotuma pesa anashangaa kuona mtu huyo
anavyobadilika.
Watu wa namna hii wanapopata
wanachokitaka huwa wanazima simu au
hawapokei kabisa,sasa kwenye meza ya Soudy
Brown kuna msanii mchanga kataperiwa na
Godzilla ‘feki’ kwa kumtaka amtumie kiasi
fulani cha pesa kisha wafanye colabo.
Bonyeza play kusikiliza. |
Source millardayo
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment