 |
| Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio
limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba
linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama
mbalimbali zinazotumiwa na Wajumbe.
Wameandika bunge la katiba lateketeza
mamilioni ya fedha ambapo kikombe cha chai
na biskuti au karanga kinalipiwa shilingi elfu
10 kila siku kwa kila Mjumbe mmoja licha ya
kwamba kila Mjumbe anapokea posho ya siku
ambayo ni laki mbili na elfu 30.
Kwenye sentensi ya pili wameandika, chakula
cha mchana kila Mjumbe analipiwa elfu 16
kwa siku ambapo kwa siku hiyohiyo iendayo
kwa Mungu, ni shilingi milioni 8 hulipwa kama
gharama za ukumbi wa kufanyia mikutano |
Hungana na familia ya kihabari kwa ku BONYA HAPA
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment