| Katika upangaji wa makundi na ratiba ya ligi
ya mabingwa ulaya pia amechaguliwa mshindi
wa tuzo ya mwanasoka bora wa ulaya ambapo
Cristiano Ronaldo, Manuel Neur na Arjen
Robben walikuwa wakiwania tuzo hiyo ambayo
mwaka jana ilichukuliwa na Frank Ribery wa
Bayern Munich.
Taarifa ikufikie kwamba mshindi wa mwaka
huu ni Cristiano Ronaldo ambaye pia ni
mwanasoka bora wa dunia ambapo kwenye hii
amewashinda Robben na Neur kwa kura
zilizopigwa na waandishi wa habari na tayari
baada ya kutangazwa, amekabidhiwa tuzo
yake muda mfupi uliopita jijini Monaco. |
0 comments:
Post a Comment