Sunday, October 19, 2014
WATOTO WA SHILOLE WAMPA MTIHANI NUH MZIWANDA!
TAZAMA PICHA ZAIDI YA 2O KILICHOJIRI JANA KWENYE SERENGETI FIESTA 2014 VIWANJA VYA LEADERS
WATANGAZAJI MAMBURULAAZ WA TELEVISHENI WAAMUA KUTANGAZA KIPINDI WAKIWA HIVI
Watangazaji wawili wa kipindi cha
televishen "The View" wamewapa
watazamaji wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyoikiendelea Sherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza kipindi chao wakiwa uchi wa mnyama. Watazamajihawakuonekana kujali
kutokana na tukio hilo na kuwapigia
makofi na kelele nying
Saturday, October 18, 2014
LIVE KUTOKA TAIFA; YANGA VS SIMBA
Dk 4 Okwi anaingia na
kujaribu lakini shuti lake
linakuwa nyanya.
Dk 6, Jaja anapiga kichwa
lakini kinatoka nje kidogo ya
lango la Simba.
Picha na salehally
KALI DUNIA NZIMA HAIJAWAHI KUTOKEA, REFA NICOLAS AMLIMA KADI NYEKUNDU CAVANI KISA KUSHANGILIA KWA STAILI YA MTUTU WA BUNDUKI
HILI NI PIGO LINGINE KUBWA WALILOLIPATA TIMU YA LIVERPOOL
KLABU ya Liverpool imepata pigo kubwa jana wakati Daniel Sturridge alipotakiwa kuwa nje kwa angalau wiki tatu zaidi baada ya kuumia tena mazoezini.
Kocha Brendan Rodgers amekuwa na matumaini kupona kwa mshambuliaji huyo kungeimarisha kikosi chake.
Sasa Sturridge, ambaye aliumia ndama wakati wa kupasha misuli moto Melwood Alhamisi, atakosa mechi kadhaa ngumu zikiwemo za nyumbani na ugenini za Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.
Mshambuliaji wa Liverpool, Daniel Sturridge anatarajiwa kuendelea kuwa nje kwa wiki tatu zaidi
MECHI ZA LIVERPOOL AMBAZO SASA STURRIDGE ATAZIKOSA
1. QPR v Liverpool
2. Liverpool v Real Madrid
3. Liverpool v Hull
4. Liverpool v Swansea
5. Newcastle v Liverpool
6. Real Madrid v Liverpool
7. Liverpool v Chelsea
Liverpool itakuwa na mechi saba katika wiki tatu zijazo ikiwemo ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi, au Capital One dhidi ya Swansea Oktoba 28 na ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Chelsea Uwanja wa Anfield Novemba 8.
Sturridge alipona maumivu ya mguu aliyopata akiichezea timu ya taifa ya England Septemba mwaka huu, maumivu ambayo yalizua mtafaruku baina ya Rodgers na kocha wa Three Lions, Roy Hodgson juu ya muda wa kupona kwa mpachika mabao huyo.
TUKIO ZIMA LA MAMA MCHAWI ALIYEDONDOKA WAKATI AKIJIANDAA KWENDA KUMUUA MJUKUU WAKE
ANGALIA HII VIDEO ALICHOFANYIWA BAADA YA KUMSHIKA MCHEZAJI
Friday, October 17, 2014
KILICHOMPATA ADMIN WA BLOG MOJA HIVI KUHUSIANA NA KUMTETEA MISS TANZANIA 2014 WEE...SOMA HAPO CHINI
WEMA SEPETU USO KWA USO NA MUME WA LADY JAY DEE, GADNER!
MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE AVUNJA UKIMYA JUU YA SAKATA LA MISS TANZANIA 2014
ANGALIA HII PICHA INASEMA MENGI SANA AMUA MWENYEWE INASEMA NINI TENA LIVE!!
KAMATI YA MISS TANZANIA WALIKOROGA ZAIDI ONA WALICHOSEMA NA USHAHIDI UPO WAZI LIVE!!
PICHA ZA GARI JIPYA LA KIFAHARI LINALODAIWA KUWA LA DIAMOND PLATNUMZ
TAARIFA YA JWTZ KUHUSU TUHUMA ZA ASKARI WAKE KUWAPORA WAVUVI HUKO MARA
MPIGA DEBE HUYU AUSHANGAZA UMMA MKOANI MBEYA KWA KITENDO HIKI ALICHOFANYA







