Gari aina ya Mercedes 350 Cdi inyosemekana
inamilikiwa na msanii Diamond.
Hiyo ni Mercedes Ml 350 Cdi ya mwaka 2014
Radio Mbao moja ya mjini imevumisha kwamba
ni kitu kipya cha Diamond Platnumz bado hata
namba hakijabatizwa nazo na ni kipya kabisa
kama Waswahili wasemavyo zero kilomita.
Hivi wote mwajua hakuna siri dunia hii , na
kama halipo lajongea , ukweli utajulikana tu … |
0 comments:
Post a Comment