Saturday, October 18, 2014
 |
hivi karibuni tuliweka hewani tukio zima la
mama mchawi wa kinigeria aliyekuwa
amedondoka chini huku akiwa uchi na mwili
ukiwa na vidonda sehemu zote...
Mama huyo alidondoka dakika chache baada
ya kujigeuza ndege na kupaa hewani
akienda kuua mtoto mchanga wa binti yake
wa kumzaa.
Inadaiwa kuwa. binti huyo amekuwa akizaa
watoto na kufariki dakika chache baada ya
kuzaliwa. Kumbe mbaya wake alikuwa ni
mama yake mzazi ambaye alikuwa
akivifuata vitoto hivyo na kisha
kuviua.Imearifiwa kuwa dada wa watu
kazunguka kwa waganga mbalimbali kutafuta
tiba bila mafanikio, na ndipo alipoamua
kumrudia mwenyezi mungu kwa kumpigia
magoti, kumlilia na kumweleza shida zake
kwa njia ya maombi, kitu ambacho Mungu
baba wa mbinguni amekijibu na
kumdondosha mama huyo baada ya nguvu
ya maombi kumzidi.Hapo chini nimekuwekea
video nzima toka Nigeria ikionesha tukio
zima la mama huyo na jinsi polisi
walivyokuwa wakihangaika kumnusuru
asichomwe moto. |
BOFYA HAPA KUIANGALIA VIDEO
0 comments:
Post a Comment