Sekeseke hilo limeendelea kutokea katika
blog moja ambayo inahusika na umbea wa
hapa Mjini ambapo admin wake aliweka
mada kuhusiana na Ushindi na Umri wa
Miss Tanzania 2014 aka Miss France, Miss
23 mara baada ya kuweka mada hiyo Basi
Wachangiaji wakachangia na ndipo Baadae
Admin wa Blog hiyo akaweka post Yenye
kumtete Unajua Alichokipata Fuatilia threat
hizo chini hapo........................
Na Haya ndio Maneno ya Admi wa Blog hiyo
Ya Udaku aka Umbea....
Duuh ..Nimekoma! Leo nilipost Post Moja
Nikimtetea Miss Tanzania kwa Kile
Kinachoendelea Mitandaoni Kuhusu Ushindi
wake na Umri ..Yenye Kichwa cha
habari : Tumechokaaa na Story za Miss
Tanzania ooh Hana Vigezo ooh Sijui
Mkubwa Mara Nini na Nini
"Watz bwana hata angepewa nani hilo taji
la miss Tanzania msingerizika
mngemchamba tu ! Muacheni Mtoto wa
watu apumue kama kushinda ndio
kashashinda umri wake unaingiliana vipi
na umiss?"
Nilichoambulia nia Kupewa za uso live Bila
chenga ....Hii inaonesha Issue hii ya Miss
Tanzania Bado Inaendelea kuwagusa Watu
Sana Kiasi kikubwa.
Soma Hapo chini Nilichoambia na Wadau
wa Udaku ...Mekoma mie...Wapi Lundenga? |
0 comments:
Post a Comment