Friday, October 17, 2014

MPIGA DEBE HUYU AUSHANGAZA UMMA MKOANI MBEYA KWA KITENDO HIKI ALICHOFANYA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida , mpigadebe maarufu katika kituo cha mabasi cha mbalizi wilayani mbeya amenunua mbuzi wawili na bidhaa nyingine za aina mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja na kuzipeleka kwenye vituo vya watoto yatima kama zawadi huku akiwaasa watoto hao kutoshawishika kwenda kupiga debe kwenye vituo vya mabasi. Mpigadebe maarufu katika kituo cha mabasi cha mbalizi, Anganile Mwamuluma Andrea ambaye amefanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 20 ameushangaza umma wa wakazi wa mbeya baada ya kuamua kununua mbuzi wawili, mchele , maharagwe, sabuni, mafuta ya kupikia na mahindi na kupeleka bidhaa hizo katika vituo viwili vya watoto yatima ambako amezitoa kama zawadi kwa watoto hao , huku akiwaasa kutoshawishika kujihusisha na kazi ya kupiga Debe kwenye vituo vya mabasi .
Walimu wa watoto hao wameeleza kushtushwa na kitendo cha mpigadebe huyo, lakini wakasema kuwa ni mfano Bora wa kuigwa kwa vijana wanaofanikiwa kukumbuka mazingira walikotoka, huku wakiwahimiza wazazi kuongeza upendo kwa watoto wao ili kupunguza wimbi la watoto wanaoishi katika mazingira magumu nchini . Baadhi ya watoto ambao wamepokea msaada huo , wamemshukuru mpigadebe huyo na kuwataka watu wengine kupata funzo la kuthamini na kuwapenda watoto ikiwa ni pamoja na kuwaandalia mazingira mazuri ya kujitegemea. ITV

HIKI NDO KILICHOMPATA KOCHA WA NIGERIA STEPHEN KESHI PAMOJA NA WASAIDIZI WAKE

Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria, Stephen Keshi amefukuzwa kazi na shirikisho la soka nchini humo, NFF mapema Alhamis hii licha ya timu yake kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Sudan jana. Keshi ametimuliwa pamoja na makocha wake wasaidizi Daniel Amokachi na Ike Shorunmu. NFF imemshukuru Keshi na wasaidizi wake kwa kazi waliyoifanya na imeahidi kuwalipa mafao yao ndani ya wiki mbili zijazo. NFF, imedai kuwa Keshi, Amokachi na Shorounmu wanaweza kuendelea kusoma course yoyote ya ukocha katika nchi wanayotaka ili kuboresha uwezo wao.

ANGALIA PICHA ZAID YA SABA ZA MSANII DAVIDO ALIVOWASILI DAR ES ES SALAAM USIKU HUU

Mussa Mateja mwandishi wa Global Publishers akiwa na Davido.
Pale ambapo unakutanishwa na miongoni mwa mastaa wanaofanya vizuri kwenye list ya hits za Afrika kwa sasa…….. pale ambapo pia unapewa ruhusa ya kuona akifanya yake kwa zaidi ya dakika 20 mbele ya macho yako.

Thursday, October 16, 2014

Diamond asema yupo tayari kufanya collabo na Alikiba

Kama ulikuwa unawasiwasi kuwa haitawahi kutokea collabo ya Diamond na msanii mwenzake ambaye alikuwa akitajwa kuwa na tofauti nae Alikiba, sasa unaweza kupunguza mashaka sababu Diamond yupo tayari kuingia booth na mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ endapo atatakiwa kufanya hivyo (lakini endapo kama na Alikiba atakuwa tayari kwa ofa hiyo). Diamond Platnumz amesema yupo tayari kufanya collabo na Alikiba au msanii yeyote atakayehitaji msaada wake. “Mimi sina tatizo, inategemea ni project gani inategemea ni muziki gani kwasababu nimeshawasaidia watu wengi nimefanya nao macollabo kwanini mtu anavyokuja nifanye nae collabo yeye nikatae, yaani siwezi kukataa” Diamond ameiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm. “mwaka huu kwanza zitatoka nyimbo nyingi za macollabo ambayo wasanii wengi wa Nigeria nimewasaidia nimefanya nao nyimbo, wengi sana. Kcee nimefanya nae, nimefanya na Mafikizolo, nimefanya na yule Waje, nimefanya na Don Jazzy, nimefanya na Dr Sid, nimesaidia watu wengi sana. Kwahiyo kama naweza kufanya wa huko kwanini nisifanye na mtu wa nyumbani, nikishindwa kufanya na mtu wa nyumbani nitakuwa na roho mbaya, au nitakuwa sitaki kusaidia kwasababu namshukuru mwenyezi Mungu muziki wangu kidogo umefika hatua sio mbaya, so nikifanya na mtu wa nyumbani na yeye namfikisha katika hatua ambayo hajawahi kufika bado, so mi siwezi kumkatalia mtu yeyote”. Ni hivi karibuni tu msanii Wizkid wa Nigeria nae alipoulizwa swali kama hilo kama ikitokea akatakiwa kufanya collabo na mpinzani wake Davido, nae alisema kila kitu kinawezekana.

Umeona daraja la Kigamboni lilipofikia? picha zake 12 mpya ziko hapa

Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini Dar es Salaam
Mama mmoja ambae anafanya biashara ya kuwauzia chakula Mafundi wa daraja hili amesema amekua akishuhudia ujenzi ukiendelea hata wakati wa usiku pia, yani akiamka asubuhi na kuja kazini anakuta mabadiliko.

YULE MWANAFUNZI WA CHUO ALIYEJICHOMA KISU,KISA MAPENZI HAKUFA,MUONE HAPA

Mwanadada Moza Kassim mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tawi la Singida,
Inadaiwa kuwa usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi iliyopita mkoani Singida,

Alijibizana na mpenzi wake ambaye eti aligundua kuwa ana mpenzi mwingine na katika vuta ni kuvute hawakufikia muafaka ndipo mwanadada akamwambia mpenzi wake kuwa anajichoma kisu mwanaume akajua ni utani akamjibu huwezi,

Mwanadada akamwambia kwa mara ya pili kisha Moza akajipiga kisu tumboni karibu na kiuno hali yake ikawa mbaya na kuanza kuchuruzika damu.

Ikabidi rafiki zao waliokuwa karibu wakamkimbiza hospitali ya mkoa na jana alihamishwa hospitalini hapo na mwanadada huyo yupo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi, na kwa mujibu wa sheria Moza ana kesi ya kujibu.

MAKAHABA WATOA VIWANGO VIPYA VYA HUDUMA....WANAPATA WAPI UJASIRI HUU HAWA?!!SHUKA NAYO HAPA...

KUTOKANA NA UCHUMI KUPANDA NA BEI ZA MAFUTA NA VINYWAJI AMBAVYO VIMEKUWA NI VITEGA UCHUM VYETU MUHIMU KUPANDA TUMEONA TUWEKE BEI ZETU SAWA NA UCHUMI WA MTANZANIA BEI HIZI ZITATEGEMEA NA SARAFU YA TANZANIA KATIKA SOKO LA DUNIA AHSANTEN Bei zilizoko sokoni- Jolly club short tm 30000 full tm-100000, Africa sana kona baa, Sunciro,Meridian k’ndoni- short tm 10000 full tm-40000 ila wabishi sana kukupa full Tm maana kuna vichwa vingi labda umchukue saa nane usiku, Maisha Club ndani -short time $50 full data -$100 kwa mzungu kwa mswahili sht-50000 full-100000, Maisha club nje bei ni kama za africa sana hao ni wale wa ndani ndo matawi, Maeda sinza elf 5 -10 shrt tm, full tm hakuna hapa kuna mpka wanaovaa kandambili, Uwanja wa fisi bei ni kuanzia 500 hadi 5000, Buguruni ni kuanzia 2000 hadi 10000 , Kwenye massage centres bei ni kati ya 50000 hadi 10000 kutegemea na quality ya mtoto, Wa maofisini bei ni kuanzia 100000 unamchukua kwa siku nzima mtoto wa ukwee! Temeke – hadi malaya wa 200/= wapo Hall III – Chuo Kikuu dar es salaam (Udsm) bei 5000-15000 IFM ndo vicheche wa kumwaga – utawapata night clubs karibu zote Dar, boom likikatika ukiwa na mkoko utawakamua mpaka useme K sasa basi hawana bei maalumu ni kuanzia chips kuku, Bei 5000-20000, tatizo wapigaji wa vizinga kuanzia 200,000 Bar maids wote ni wauzaji, weka strategy nzuri utawatafuna mpaka upukutike salio lako. NB Serikali ianzishe utaratibu wa kuwasajili na kuwafanya walipe kodi hawa watu, tunapoteza mapato mengi sana kwa mwaka. Kama kipato chako ni kidogo waachie wenye roho za paka utauza nyumba mkuu bure hapa Dar. Tumia Condom ukimwi upo na unaua. EPUKA MICHEPUKO!

Orijino Komedi wanunua nyumba 7 za NSSF, zina thamani ya shilingi milioni 840

Kundi la uchekeshaji la Orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi wasanii wake nyumba saba zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja ilinunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni 120. Seki akikabidhiwa nyumba yake Kundi hilo limeweka picha za nyumba hizo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika: “ItsOfficialNw Bwn Mseli Abdallah-Planning & Investment Manager wa NSSF akimkabidhi @jotimdebwedo Joti funguo ya nyumba yake mpya kati ya nyumba 7 zilizonunuliwa na @orijinokomedi toka mradi wa NSSF kwaajili ya wasanii wake. Kila nyumba ina thamani ya zaidi ya Tsh 120M.

New Music: Yemi Alade f/ Diamond Platnumz – Kissing (remix) download hapa

Yemi Alade na Diamond hawakuishia kufanya wimbo kwenye kipindi cha Coke Studio Africa peke yake. Diamond ameshirikishwa kwenye album ya msanii huyo wa Nigeria, ‘King Of Queens’. Isikilize remix ya wimbo wake Kissing
aliomshirikisha Diamond Platnumz.

 BOFYA HAPA KUDOWNLOAD 

Wednesday, October 15, 2014

Mama Kanumba na Lulu katika filamu mpya "Mapenzi ya Mungu"

Hivi karibu msanii mahiri na nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo "MAPENZI YA MUNGU" ambapo moja kati ya washiriki katika filamu hiyo ni Bi Flora Mtegoha ambaye ni Mama Mzazi wa aliyekuwa msanii nguli wa kiume hapa 'Bongo' marehemu Steven Kanumba. Filamu ya "Mapenzi ya Mungu" ni moja ya filamu ambayo Lulu ameonesha uwezo wa hali ya juu na kuthibitisha kuwa ni mmoja kati ya wasanii wa kike hapa Tanzania ambaye ana kipaji cha hali ya juu katika kuuvaa uhusika ambapo ana uwezo wa kubadilika badilika kutokana na muongozo anaopewa. Filamu ya "Mapenzi ya Mungu" itakuwa sokoni hivi karibuni kwa wauzaji wa filamu kote nchini. Filamu hii itasambazwa na Kampuni mahiri ya Proin Promotions Ltd.

MWANAJESHI AMLAZIMISHA RAIA KUOGELEA KWENYE MAJI YALIYOTWAMA BARABARANI KARIAKOO JIJINI DAR: ANGALIAPICHA HAPA===>

Picha unazoona sio utani wala sinema ni raia wa kawaida akiogeleakwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.Raia huyo alikutana na adhabu kali zamwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam.Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhishaakaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..Haya mavazi raia wanayapenda ila kwenda kutumikia jeshi hawataki...ahahaaa jamaa alichokipata hawezi kutamani nguo za rangi ya kombat maisha yake yote.

MAPENZI NI SUMU, KWANINI TUFIKE HUKU?! JIONEE MWENYEWE HAPA!

Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa aj ili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya n ini halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa pande za Nigeria aka Naija, ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka 2010...Swali ni Je, m iaka kumi na kumuaribu mwenzio namna hii vinaendana?!

TOP 5 YA WABUNGE WAREMBO WENYE MVUTO BUNGE LA TANZANIA..

1.CATHERINE MAGIGE (CCM)
2.VICK KAMATA (CCM)
3.JOYCE MUKYA (CHADEMA)
4.MARRY MWANJELWA (CCM)
ESTER MATIKO (CHADEMA)

Kwa kipindi hiki hii ndiyo top 5 ya
Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.

MZEE WA MIAKA 54 AKAMATWA KWA KUMUOA MSICHANA WA MIAKA NANE TANZANIA

Jeshi la polisi wilaya ya bunda kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa
jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Bw Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane

HII NDO PICHA YA WEMA SEPETU ILIYOTIKISA MTANDAONI HAPO JANA

Nimeshapiga picha nyingi sana...lakini kwa upande wangu hii ni zaidi ya zote...kwamaana kwamba ameonekana ni MSUPA zaidi....yeah!! yaani amependeza kimavazi na sehemu aliopigia ndio balaa. ukizingatia hivyo vyote na umbo lake la Curve Curve......natamka kuwa this is the BEST photo of Wema...hehehe Naaamini wengi mtakubaliana nani....Icheki
hapa!!!

PERUZI KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO HAPA

Tuesday, October 14, 2014

KAMA HUJUI BASI HUYU NDIYE ALIYECHUKUA NAFASI YA GADNER KWA LADY JAY DEE!

Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa mwanamuziki superstar wa kik Tanzania Lady Jaydee.
Akizungumza na Mtanzania Wakazi amesema ni kweli yeye ndiye meneja wa msanii huyo ambaye alikuwa akisimamiwa na Gadner G Habash ambaye ni mume wa Jaydee huku wakidaiwa kumwagana siku za karibuni ingawa wote wamekataa kwa nyakati tofauti kuzungumzia issue hiyo.

Wakazi pia hakutaka kuzungumzia issue hiyo mbele ya mwandishi wa Mtanzania ila alisema;
"mimi sijui chochote maana nilipokwenda Marekani niliwaacha wakiwa wachumba lakini nilipokuwa huko nikasikia wameona, niliporudi nikawakuta tayari wapo katika ndoa na nimeanzkazi ya umeneja wa Jaydee si muda mrefu hivyo sijui mahusiano yao ya ndani labda muwaulize wenyewe" alisema Wakazi ambaye ni binamu wa Jaydee.

PERUZI KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE HAPA

HUYU NDIYE KIJANA ALIYESABABISHA MWANADADA HUYU WA CHUO CHA UHASIBU SINGIDA KUJICHOMA KISU KISA KUMTOLEA NJE.

Mwanadada Moza Kassim mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tawi la Singida, inadaiwa kuwa usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi iliyopita mkoani Singida, alijibizana na mpenzi wake ambaye eti aligundua kuwa ana mpenzi mwingine na katika vuta ni kuvute hawakufikia muafaka ndipo mwanadada akamwambia mpenzi wake kuwa anajichoma kisu mwanaume akajua ni utani akamjibu huwezi, mwanadada akamwambia kwa mara ya pili kisha Moza akajipiga kisu tumboni karibu na kiuno hali yake ikawa mbaya na kuanza kuchuruzika damu ikabidi rafiki zao waliokua karibu wakamkimbiza hospitali ya mkoa, na jana alihamishwa hospitalini hapo na mwanadada huyo yupo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi, na kwa mujibu wa sheria Moza ana kesi ya kujibu.

DIAMOND AFUNGUKA RASMI KUHUSU TOFAUTI ZILOZOKUWA ZIKIZUNGUMZWA BAINA YAKE NA ALIKIBA

Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo. Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa baina yake na muimbaji huyo wa ‘Mwana’. “Nimekua nikiskia muda mrefu vimezungumziwa sana, kwenye mitandao katika nini, sijui kwanini vinazungumziwa hivyo” aliiambia 255 ya XXL ya Clouds Fm “Unajua kuna time ikifika inabidi uangalie na kuna vitu uvizoee tu sababu havikuanza leo hivi vitu sio tu kwa Ali, ukiwa unafanya vizuri ni msanii yeyote ambaye atakuwepo nae anafanya nyimbo au akatoa nyimbo yaani utakuja utashindanishwa nae tu, atakuja huyu na huyu na huyu, lakini wewe mwenyewe tu kuangalia heshima yako iko wapi kuangalia kazi zako unazifanyaje ubora wake”. “Tangia mwanzo yaani inavyoanza ishagatokeaga hivyo ilikua sijui kwa Belle 9, ilitoka kwa Belle 9 ikaja nafikiri sijui Sam Wa Ukweli ilikua, ikaja sijui kwa Bob Junior, ikaja pia kwa Ali, ikatoka kwa Ali tena ikaja ikaondoka ikaenda kwa Omary I mean Ommy Dimpoz, ikatoka tena ikaja kwa Richard Mavoko, so kila time inavyokuwa inaenda unafanya vizuri hivyo vitu vinakua vinatokea, so ni we mwenyewe kuangalia na watu wasiokuwa na upeo wanaweza wakahisi hawa watu wana tatizo kumbe si tatizo ni vitu ambavyo vitakuwepo tu kwasababu mashabiki wana tabia wakiona mtu anafanya hichi na we unafanya kitu mkiwa katika kazi inayofanana hivyo vitu vitatokea yaani watu watashindanisha, unaweza hata ukashindanishwa na mtu ambae hata hakufikii kiwango kabisa”. “Hata kwenye boxing ipo, ukiangalia hata kuna kipindi ilikuwa TMK na East Coast, ilikuwaga kwa Dully na T.I.D hivi ni vitu vya kikazi hata kwenye mpira ndio maana kuna Simba na Yanga, lakini haimaanishi Simba na Yanga ni maadui wakikutana Ngassa ntakupiga ngumi au flani ah ah..” Diamond amesema kuwa kama Alikiba alikuwa na tatizo na yeye anaamini angeweza kumfata na kumwambia sababu amefahamiana nae kabla hajakuwa mwanamuziki. “Sasa hivi yaani karibia mwaka wa tano, Mi tangia nianze kufanya muziki sijawahi kudrop kila siku nazidi kupanda juu…so hivyo vitu lazima vitatokea lazima nivikubali, inawezekana we unasema we unasema we hauna tatizo lakini mwenzio akawa anahisi wewe una tatizo nae, lakini naamini kama angekuwa anahisi kama mimi nina matatizo na yeye angenifata akaniambia kwa sababu mimi sijajuana na Ali kwenye muziki, nimejuana na Ali kabla sijakuwa mwanamuziki, nimemjua Ali kupitia dada yangu Queen Darleen so alikuwa an uwezo wa kunifata akaniambia personally kwamba bana umefanya hichi na hichi na hichi”. Diamond amemaliza kwa kusema kuwaomba media na mashabiki wasifanye ionekane kama wana beef binafsi bali wazishindanishe kazi ili kukuza muziki wa Tanzania. “Ukiniuliza mimi kiundani kabisa siamini kama kutakua na tatizo la damu ya mtu na mtu, bali ni vitu ambavyo vipo vya kisanaa au vya kimashabiki kwa mashabiki. Mi nasisitiza sana media na watu wasitengeneze kufanya kama ni matatizo ya mtu na mtu kwasababu kisanaa inakua haijengi, lakini inapokuwa ni baina ya kazi na kazi inakua inasaidia kwasababu inafanya watu wawe na changamoto ya kusema ngoja nitoe kazi kali ili nifanye kitu kizuri inasababisha muziki wetu ukue.”