Wednesday, October 15, 2014
 |
| Tujiangalie sana unapopata na hasira
kwa aj ili ya mpenzi wako na kuchukua
maamuzi magumu sana katika jambo
ambalo limeshatendeka na hata
ukifanya n ini halitaweza kurudi, cha
msingi ni kuangalia wapi mwenza wako
kakosea na kama imeshindikana ni
bora uachane naye kwa kheri kuliko
kuaribiana maisha, ingawa maumivu
yapo na yanauma ila tujali utu kuliko
kufanya unyama kama ulivyomkuta
mwanadada Paulina wa
pande za Nigeria aka Naija, ambaye
alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr.
Ogba kutokana na wivu wa mapenzi,
sasa jamaa alibahatika kukamatwa na
kufungwa jela miaka kumi tangu
mwaka 2010...Swali ni Je, m iaka kumi
na kumuaribu mwenzio namna hii
vinaendana?! |
0 comments:
Post a Comment