Thursday, October 16, 2014

Umeona daraja la Kigamboni lilipofikia? picha zake 12 mpya ziko hapa

Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini Dar es Salaam
Mama mmoja ambae anafanya biashara ya kuwauzia chakula Mafundi wa daraja hili amesema amekua akishuhudia ujenzi ukiendelea hata wakati wa usiku pia, yani akiamka asubuhi na kuja kazini anakuta mabadiliko.

0 comments:

Post a Comment