Wednesday, October 15, 2014
 |
| Picha unazoona sio utani wala sinema ni raia wa kawaida akiogeleakwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.Raia huyo alikutana na adhabu kali zamwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam.Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhishaakaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..Haya mavazi raia wanayapenda ila kwenda kutumikia jeshi hawataki...ahahaaa jamaa alichokipata hawezi kutamani nguo za rangi ya kombat maisha yake yote. |
0 comments:
Post a Comment