Wednesday, October 15, 2014

MZEE WA MIAKA 54 AKAMATWA KWA KUMUOA MSICHANA WA MIAKA NANE TANZANIA

Jeshi la polisi wilaya ya bunda kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa
jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Bw Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane

0 comments:

Post a Comment