Friday, September 19, 2014

HUYU MDADA ATANGAZA MTANDAONI KUWA ANAFANYA BIASHARA YA UKAHABA,ATUPIA PICHA hizi

Kwa jina anaitwa Sandra Mpofu.Mtazame picha zake za aibu hapo chini

Posted via Blogaway

HII NI HABARI YA DIVA KUTAMKA KUWA ZITTO NI MUME WAKE

Loveness Malinzi (Diva).DIVA: ZITTO NI MUME WANGU.” Ikikolezwa na dondoo ‘Adai ni mke anayetambulika kisheria’ na‘Asema hayuko tayari kuachana naye kirahisi,’ ambayo uongozi wa gazeti umekusudia kwa nia njema kutoa ukweli juu ya habari hiyo.Ufafanuzi huu unalenga kumaliza mkanganyiko uliojitokeza hasa baada ya kuwepo kwa madai kutoka kwa mhusika ambaye ni Loveness Malinzi (Diva) kuwa, hakuzungumza na gazeti kile kilichoandikwana kwamba alikuwa anazushiwa; madai haya aliyawasilisha chumba cha habari kwa njia ya simu na sehemu kuyaweka kwenye ukurasa wake wa kijamii wa Instagram.Kama hilo halitoshi, Diva alikana kuzungumza na mwandishi wa habari hiyo ambapo alisema mazungumzo yao yalihusu mwaliko wa Kipindi cha Global TV Online ambacho kinarushwa na mtandao unaoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers inayomiliki pia Gazeti la Amani na si vinginevyo.Malalamiko haya ya Diva yalikuja muda mchache baada ya gazeti kutoka likiwa na habari hiyo ambapo jopo la wahariri wa Amani kabla ya kuchapisha habari hiyo walijiaminisha kuwa ni ya kweli kutokana na taarifa pamoja na vielelezo vya rekodi ya sauti ya mazungumzo alivyoviwasilisha mwandishikwenye dawati kuthibitisha kuwa alifanya mazungumzo na mhusika kuhusiana na msingi wa habari nzima iliyoandikwa.SOMA ZAIDI>>kwa kubofya apo chini

Posted via Blogaway

MAAJABU YA MTOTO WA MIUJIZA,MAMA YAKE AFUNGUKA MAZITO NA YA KUTISHA

Mtoto Happiness (10) anayedaiwa kuzua kizazaa mjini Zanzibar.MTOTO Happiness (10) (pichani) ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita  alizua kizazaa mjini Zanzibar baada ya kuonekana akizungumzana viumbe wa ajabu na wanyama, ametua jijini Dar kufuatia kufika kisiwani humo kimaajabu.Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo, Sarah Zefania, mwanaye Happinessalianza kuonesha maajabu Zenji tangu alipoonekana kwenye uwanja wa ndege kisiwani humo wiki iliyopita.Alisema maofisa wa uwanja huo walipigwa butwaa baada ya kumwona mtoto huyo uwanjaniamepita sehemu zote za ukaguzi ambazo abiria asiyekaguliwa nyaraka zake za kusafiria na mitambo maalum ya kuangalia vitu mbalimbali vikiwemo kemikali hatari, silaha na madawa ya kulevya hawezi kupita.Kwa mujibu wa mama huyo, aliambiwa na maofisa wa uwanja huo kuwa sehemu hizo zote mtoto wake alipita bila kuonekana na kamera zauwanjani hapo wala kuacha kumbukumbu yoyote hali iliyozidi kuwaumiza vichwa maofisa wa uwanja huo.Zefania alisema wakati maofisa hao wakitafakarihayo, ndipo msamaria mwema mmoja alijitokeza na kumchukua kwenda kumuhifadhi nyumbani kwake.“Akiwa nyumbani kwa msamaria mwema huyo, nimeambiwa mwanangu alianza kumfanyia maajabu mbalimbali ikiwemo kuzungumza na wanyama na viumbe wengine wa ajabu au kutoka nje huku mlango umefungwa kwa ndani.“Kuna muda alizungumza na viumbe wasioonekana ambapo aliwasiliana nao na kumletea vitu kadhaa alivyovitaka. Wakati mwingine alizungumza na wanyama wa mle ndani, kama kuku na paka ambao alikuwa akiwatuma kumfanyia yote aliyokuwa akiwaagiza.“Hali hiyo ilimshtua yule msamaria mwema naye aliomba kupambazuke ili ampeleke mwanangu ustawi wa jamii. Yaani nahisi pengineangekuwa amemuokota sehemu bila kukabidhiwa mbele ya mashahidi pengine angemtupa usiku huohuo.“Baada ya kushuhudia vituko hivyo, asubuhi iliyofuata alimkimbiza ustawi wa jamii ambako nako wameniambia alianza kuwafanyia vituko kama hivyo na kuwaambia kuwa angewatoroka muda wowote, kisha kuonekana akiparamia juu ya paa na kutaka kutoka.“Yaani kwa muda mfupi waliokaa naye, maofisa wa ustawi wa jamii wanasema amewahenyesha vya kutosha ndipo walipofanya juhudi za kunitafuta na mimi nikaenda kumfuata,” alisema mama huyo muda mfupi baada ya kutua bandarini Dar..Paparazi wetu alipomtaka mtoto huyo kuzungumza alikataa katakata na kujifanya bubu hali iliyomshangaza hata mama yake. “Nashangaa, sijui kwa nini hataki kuzungumza nawewe wakati ni mzungumzaji sana,” alisema mama Happiness.Akizungumzia historia ya mtoto huyo, mama huyo alisema alimzalia Musoma, Mara na mwanaume mmoja aliyemtaja kwa jina la Juli ambaye walitengana na hawana mawasilino mazuri.Mama huyo alisema alimpeleka mtoto wake shuleni lakini kila akifika harudi nyumbani na kutorokea anakokujua na kuonekana baada ya wiki mbili au tatu.Kufuatia hali hiyo amewaomba wasamaria wema na viongozi wa dini kumwombea mtoto wake ili arudi katika hali ya kawaida kwani anajua kuna mkono wa mtu wa karibu uliyemharibu mtoto wake.GPL


Posted via Blogaway

IMEFICHUKA!! KUMBE JIDE, GARDNER SASA PAKA NA PANYA. SHUHUDIA PICHA

Mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Habash ‘G. Habash’ akiwa na Miss Mara2000, Rashida Wanjara.Gardner Gabriel Habash ‘G. Habash’ na ‘mtalaka’ wake, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, Jumamosi iliyopita walifanya tukio lililowashangaza watu kufuatia kila mmoja kuingia ukumbini akiwa na kampaniyake na kukwepana kama paka na panya, Amani liliwanasa kwa vile lilikuwepo.Tukio hilo lililoamsha minong’ono kwa watu waliosoma mchezo mzima, liliibukia ndani ya Ukumbi wa Ten Lounge (zamani Business Park) uliopo Makumbusho, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambako kulikuwa nauzinduzi wa albamu ya Bongo Fleva. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Gardner alipoingia alikwenda kukaa kwenye meza na watu wengine watatu, baadaye akafika Miss Mara 2000, Rashida Wanjara na kuunga ambapowalikuwa wakibadilishana mawazo na kufunguliana vinywaji kwa meno na kumiminiana kwenye glasi. JIDE NAYEWakati Gardner ambaye pia hujulikana kwa jina la utani la Kapteni akiendelea kujipoza na Rashida na wengine, Jide yeye alikaa meza moja na kijana mmojaaliyevalia shati la kitenge la mtindo uliowahi kutamba miaka mitano nyuma, wengine huita Mackezie sanjari na wadada wawili. INAENDELEA>>bofya hapo chini

 BOFYA HAPA'


Posted via Blogaway

FASHENI HIZI JAMANI: VIMINI VYAMZUIA DIDA KUFANYA KAZI IKULU SOMA ZAIDI HAPA

Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani wa RadioTimes, Hadija Shaibu ‘Dida’.MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga.Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini.

Posted via Blogaway

BAADA YA KUTUKANWA INSTAGRAM KUA ANAISHI KWA WEMA, HICHI NDO KADINDA ALICHOONYESHA

Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza. Alipost hii picha juzi kwenye mtandaowa instagram baada ya kundi la watukuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikujabaada ya manager huyo ku post picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.Martin aliwajia juu watu hao na kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni hawana maisha wala elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio kujipooza machungu ya ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin)ambaye anadai ana maisha mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni wakati hata hawamjui.

Posted via Blogaway

Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV"kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka

Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanjakwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu iliwauze sura na kuonekana na wanaume wapate ‘soko’kiulaini.Aliongeza kuwa, watu hao kupitia vitendo hivyo wamekuwa wakiichafua tasnia kiasi cha wote kuonekana hawafai (samaki mmoja akioza, ni wote).Nora alikwenda mbali zaidi alipoulizwa na Salama ni nani na nani hawafai na nani wanafaa, alishindwa kuwataja kwa majina moja kwa moja lakini mtangazaji huyo akaomba ataje majina yeye kisha Nora aseme kama anafaa au hafai!Salama: “Kajala.”Nora: “Huyo hamna kitu.”Salama: “Batuli.”Nora: “Huyo pia hamna kitu.”Salama: “Lulu.”Nora: ”Huyo safi.”Salama: “Mlela (Yusuf).”Nora: “Huyo hamna kitu.”Salama: “Steve Nyerere.”Nora: “Huyo hamna kitu.”Salama: “Hemed (Suleiman).”Nora: “Hamna kitu hapo.”Globalpublishers ilimsaka Kajala kwa njia ya simu hakupatikana, lakini mmoja wa watu wake wa karibu alisema staa huyo ameshangaa sana Nora kutaka kurudi juu kwa kutumia jina lake.“Kajala amezima simu, lakini kamshangaa sana Nora, alishazimika, sasa anaonekana anataka kuwaka tena kwa kutumia jina lake,” alisema mpambe huyo

Posted via Blogaway

Thursday, September 18, 2014

UCL: Matokeo ya Man City vs Bayern Munich haya hapa

Ligi ya mabingwa wa ulaya imeendelea tena leo kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani ulaya – kule Etihad stadium Manchester waliikaribisha FC Bayern Munich katika mchezo wa kundi E. Mchezo huo uliowakutanisha mabingwa wa ligi za Ujerumani na England ulikuwa mgumu na mpaka kufikia dakika ya 90 bado matokeo yalikuwa 0-0, sifa zimuendee Joe Hart wa City kwa umahiri wa kuokoa michomo ya washambuliaji wa Bayern. Katika dakika 3 za mwisho za nyongeza mchezaji wa zamani wa Man City – Jerome Boateng akaiadhibu timu yake ya zamani kwa kuifungia Bayern goli pekee na la ushindi kwenye mchezo huo. Boateng alifumu a shuti kali ambalo Hart alijaribu kulifuata lakini likamshinda na kuipa Bayern ushindi wa kwanza kwenye ambalo linahusisha vilabu vya Spartak na As Roma. Timu zilipangwa kama ifuatavyo: Bayern Munich: Neuer 7, Rafinha 6.5 (Pizarro. 84), Boateng 7, Benatia 6.5 (Dante, 85), Bernat 7.5, Lahm 6.5, Alonso 6.5, Alaba 7, Muller 6.5 (Robben, 76, 5.5), Lewandowski 6.5, Gotze 7 Subs: Reina, Dante, Shaqiri, Pizarro, Rode, Hojbjerg. Scorer: Boateng, 89. Manager: Pep Guardiola, 6.5 Man City: Hart 9, Sagna 6.5, Kompany 7, Demichelis 6.5, Clichy 6, Nasri 5.5 (Milner, 58, 6) Fernandinho 6, Toure 5.5, Navas 6 (Kolarov, 87), Silva 7.5, Dzeko 6 (Aguero, 74, 5.5) Subs: Caballero, Kolarov, Aguero, Lampard, Mangala, Boyata. Manager: Pellegrini, 6.5

Posted via Blogaway

UCL: Matokeo ya mchezo w Chelsea vs Schalke haya hapa

HII NDO LISTI KAMILI YA MABILIONEA WALIOKIMBIA SHULE HII HAPA

List of college-dropout
billionaires
1. Bill Gates[4] – US
2. Mark Zuckerberg [5] – US
3. Larry Ellison [6] – US
4. Michael Dell [7] – US
5. Marc Rich [8] (d. 2013) – US
6. Ty Warner [9] – US
7. Gautam Adani [10] – India
8. Micky Jagtiani[11] – India
9. Shahid Balwa [12] – India
10. Subhash Chandra[13] – India
11. Vinod Goenka [14] – India
12. PNC Menon [15][16] – India
13. Roman Abramovich [17] – Russia
14. Sheldon Adelson [18] – US
15. Amancio Ortega[19] – Spain
16. Donald Newhouse[20] – US
17. François Pinault[21] – France
18. Jack Taylor[22] – US
19. David Geffen[23] – US
20. Ted Turner [24] – US
21. Henry Fok[25] (d. 2006) – Hong Kong
22. Ralph Lauren [26] – US
23. Mohammed Al Amoudi[27] – Saudi Arabia
24. Stanley Ho [28] – Hong Kong
25. Gabe Newell[29] – US
26. Dustin Moskovitz[30] – US
27. Richard Li[31] – Hong Kong
28. Sheldon Solow [32] – US
29. Stef Wertheimer [33][34] – Israel
30. Hiroshi Yamauchi[35] (d. 2013) - Japan
31. Evan Williams [36] - US


Posted via Blogaway

Download New Music: Dogo D – Siwezi Kuwa wako

Wednesday, September 17, 2014

NDOA YA DADA 'AKE DIAMOND NA PETIT MAN CONFIRMED...MWENYE WE AFUNGUKA KIIVI!

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.

Posted via Blogaway

Download New Music: Rabbit Ft Joh Makini & G Nako – Najipendelea

Tuesday, September 16, 2014

HUU NDO UZI MPYA WA MAN CITY UCHEKI HAPA

KLABU ya Manchester City imetoa jezi mpya za tatu zitakazotumiwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England katika michuano ambayo watashiriki msimu huu.Klabu hiyo inazindua jezi hizo kuelekea kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Jumatano na zitatolewa rasmi kwa ajili ya mashabiki kuanzia Septemba 25.Taarifa ya City kwa vyombo vya habari, imesema: "Chini ya wingu la kiza hizi jezi zinaonekana zinawaka, kama zinatiwa nguvu ya betri na zitatoa mwangaza fulani wa rangi uwanjani,".

Posted via Blogaway

UNYAMA WA KUTISHA DAR: ACHINJWA NA KUTUPWA, AOKOTWA NA WATOTOT WAKE WADOGO!

Mwili wa Melasi Lutebula Ndabi ukiwa umetupwa baada ya kuchinjwa. Mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Melasi Lutebula Ndabi ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mtaa wa Muhimbili 2, Kata ya Pemba, Wilaya ya Temeke jijini Dar, ameuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kufika kwake kwa ajili ya kukodi shamba la kulima matikiti.Habari zinadai kuwa, marehemu mbali na kuwa mfanyabishara na kiongozi katika eneo hilo, pia alikuwa akijishughulisha kwa kilimo na ufugaji, kazi ambazo amekuwa akizifanya tangu afike katika eneo hilo mwaka 2005. Akizungumza kwa uchungu na Uwazi, mke wa marehemu aitwaye Rehema Shaban (pichani), alisema siku za nyuma kuna watu watatu walifika nyumbani hapo wakihitaji kukodi shamba kwa ajili ya kulima matikiti. Watu hao ambao inadaiwa si wakazi wa eneo hilo na wala hawajulikani walisema wanatokea Kijiji cha Lisu wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora walielekezwa kwa marehemu huyo. Ilielezwa kuwa, kwa mara ya kwanza watu hao walifika nyumbani kwa marehemu Septemba 5, mwaka huu baada ya mazungumzo ya kina, marehemu aliwaonesha eneo la ekari tatu.

Posted via Blogaway

SAMAHANI KWA PICHA HIZI: [ZINATISHA] ANYONGWA NA MPENZI WAKE NA KUTUPWA KORONGONI HUKO KIGOMA!

Baba mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Kaga mkazi wa Mwanga Kisangani ''B'' jirani na Saigoni amemuua mpenzi wake kwa kumnyonga na kumtumpa katika makorongo ya Kilimahewa ''B'' Chini ya Shule ya Msingi Kilimahewa. Taarifa za awali zinasema kulikuwa na ugomvi baina yao hao wapenzi wawili hali iliyopelekea mwanamke (Mama Koku) kumshtaki mwanaume mahakamani na kusababisha Mwanaume kufungwa miezi miwili jela. Siku kadhaaa baada ya mwanaume kutoka gerezani alipata habari kuwa mpenzi wake huyo aliyesababisha kuwekwa ndani anatembea na mwanaume mwingine ndipo mwanaume huyo alipopanga njama/namna ya kutekeleza mauwaji hayo. Taarifa zinasema mara baada ya mwanaume kudhamiria kutekeleza tukio hilo lililo kinyume na neno la MUNGU katika kitabu kile cha Kutoka 20.13 alimwambia mpenzi wake kuwa; "Leo nimejisikia tutoke out twende Beach za Gorden tukajivinjari" Mwanamke (Mama Koku) bila shaka lolote aliongozana nae mpenzi wake huyo ndipo wakiwa njiani katika makorongo ya Kilimahewa ''B'' mwanaume alimbadilikia ghafla na kumkaba kooni mwanamke na kupelekea kupoteza maisha.

Posted via Blogaway

DUNIA IMEKWISHA: MWANAMKE AWABAKA WATOTO WA KIUME WAWILI mcheki hapa

Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababisha maambukizi makubwa ya Ukimwi. Mwanamke wa miaka 37, aliyefahamika kwa jina moja la Adong anashikiliwa na Polisi huko mjini Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na yeye! Bonya hapo chini kusoma zaid

 bofya hapa 


Posted via Blogaway

SIRI IMEFICHUKA: ALIYEZAA NA RIYAMA WA BONGO MOVIE ANASWA LIVE! SHUKA NAYO HAPA!

Bw. Haggy (Baba Fatuma) akikata keki mwanaye.
Staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally akiwa na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Haggy . Muda mfupi baada ya Riyama na mwanaye kuingia ukumbini, waliofuatia kuingia huku wakicheza muziki kwa staili ya Kisambaa walikuwa ni wakwe, yaani baba wa mtoto na mama yake na ndugu wengine waliowasindikiza.

Posted via Blogaway

WEMA SEPETU AMJIBU KAJALA , NAYE AGAWA PESA KAMA MVUA KWA MWIMBAJI WA SKYLIGHT BAND cheki hapa

Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua Kufungua Pochi na Kugawa Mijihela Kibao Kwa Mwimbaji Sam wa Skylight Band Kitendo Kinachoonekana Kujibu Mapigo kwa Kajali Kwani Siku si Nyingi nae alimwaga Minoti ya kufa mtu kwa Waimbaji wa ya Moto Band....Mweee Siku hizi tuna Mapedejee wa Kike..picha zaid bofya apo chini

 BOFYA HAPA 


Posted via Blogaway

LOGARUSIC AIPELEKA PUTA SIMBA SC, TFF YAWAPA SIKU 14 KUMALIZANA NAYE, VINGINEVYO…

Na Boniface Wambura, DAR ES SALAAM KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikishola Soka Tanzania (TFF), imewapa siku 14 Simba SC kumaliza mgogoro wao na kocha wao wa zamani, Mcroatia Zdravko Logarusic. Taarifa ya TFF leo, imesema kwamba iwapo pande hizo mbili zitashindwa kufikia mwafaka ndani ya siku 14, suala hilo litarejea tena mbele ya Kamati. Logarusic aliyewakilishwa na mwanasheria wake Dickson Sanga anailalamikia klabu hiyo kwa kuvunja mkataba kinyume cha taratibu, hivyo kutaka Simba imlipe dola 6,000 kwa kuvunja mkataba, na pia kulipa dola 50,000 ikiwa ni fidia maalumu ya madhara yaliyotokana na uvunjwaji huo. Simba SC ilimfukuza Logarusic mwezi uliopita baada ya kufanya kazi tangu Desemba mwaka jana, ikidai kwamba haendani na maadili ya klabu hiyo. Aidha, Kamati pia imepitisha usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza huku wenye kasoro ndogondogo klabu zao zikitakiwa kuziondoa ili waweze kupatia leseni za kucheza ligi msimu huu wa 2014/2015. Kasoro hizo ni kufikia makubaliano na klabu ambazo wachezaji husika wametoka, kuwafanyia uhamisho (transfer) na kulipa ada za uhamisho. Kamati vilevile ilibaini wachezaji wengi hawakufanyiwa uhamisho kama kanuni za ligi hizo zinavyoelekeza. Hivyo, klabu ambazo hazitakuwa zimeondoa kasoro hizo kwa wachezaji wao leseni zao zitazuiliwa mpaka watakapokuwa wamekamilisha kila kitu. Ni wachezaji wenye leseni tu ndiyo watakaoruhusiwa kucheza mechi za ligi. Klabu za African Lyon, African Sports, Ashanti United, Coastal Union, Kiluvya United, Majimaji, Mji Mkuu, Polisi Dodoma, Polisi Morogoro, Red Coast na Stand United ziliwawekea pingamizi wachezaji mbalimbali kwa kutofanyiwa uhamisho. Kuhusu Ike Bright Obina wa Nigeria aliyewekewa pingamizi na African Lyon dhidi ya Coastal Union, Kamati imezitaka klabu hizo kufikia makubaliano, na zikishindwa mchezaji huyo atabaki African Lyon.

Posted via Blogaway