Tuesday, September 16, 2014

WEMA SEPETU AMJIBU KAJALA , NAYE AGAWA PESA KAMA MVUA KWA MWIMBAJI WA SKYLIGHT BAND cheki hapa

Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua Kufungua Pochi na Kugawa Mijihela Kibao Kwa Mwimbaji Sam wa Skylight Band Kitendo Kinachoonekana Kujibu Mapigo kwa Kajali Kwani Siku si Nyingi nae alimwaga Minoti ya kufa mtu kwa Waimbaji wa ya Moto Band....Mweee Siku hizi tuna Mapedejee wa Kike..picha zaid bofya apo chini

 BOFYA HAPA 


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment