Tuesday, September 16, 2014

HUU NDO UZI MPYA WA MAN CITY UCHEKI HAPA

KLABU ya Manchester City imetoa jezi mpya za tatu zitakazotumiwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England katika michuano ambayo watashiriki msimu huu.Klabu hiyo inazindua jezi hizo kuelekea kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Jumatano na zitatolewa rasmi kwa ajili ya mashabiki kuanzia Septemba 25.Taarifa ya City kwa vyombo vya habari, imesema: "Chini ya wingu la kiza hizi jezi zinaonekana zinawaka, kama zinatiwa nguvu ya betri na zitatoa mwangaza fulani wa rangi uwanjani,".

Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment