Friday, September 19, 2014
 |
| Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani wa RadioTimes, Hadija Shaibu ‘Dida’.MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga.Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment