Tuesday, September 16, 2014
 |
| Bw. Haggy (Baba Fatuma) akikata keki
mwanaye. |
 |
| Staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally
akiwa na mpenzi wake anayefahamika
kwa jina moja la Haggy .
Muda mfupi baada ya Riyama na
mwanaye kuingia ukumbini, waliofuatia
kuingia huku wakicheza muziki kwa
staili ya Kisambaa walikuwa ni wakwe,
yaani baba wa mtoto na mama yake na
ndugu wengine waliowasindikiza. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment