Friday, September 19, 2014
HUYU MDADA ATANGAZA MTANDAONI KUWA ANAFANYA BIASHARA YA UKAHABA,ATUPIA PICHA hizi
HII NI HABARI YA DIVA KUTAMKA KUWA ZITTO NI MUME WAKE
Posted via Blogaway
MAAJABU YA MTOTO WA MIUJIZA,MAMA YAKE AFUNGUKA MAZITO NA YA KUTISHA
Mtoto Happiness (10) anayedaiwa kuzua kizazaa mjini Zanzibar.MTOTO Happiness (10) (pichani) ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alizua kizazaa mjini Zanzibar baada ya kuonekana akizungumzana viumbe wa ajabu na wanyama, ametua jijini Dar kufuatia kufika kisiwani humo kimaajabu.Kwa mujibu wa mama mzazi wa mtoto huyo, Sarah Zefania, mwanaye Happinessalianza kuonesha maajabu Zenji tangu alipoonekana kwenye uwanja wa ndege kisiwani humo wiki iliyopita.Alisema maofisa wa uwanja huo walipigwa butwaa baada ya kumwona mtoto huyo uwanjaniamepita sehemu zote za ukaguzi ambazo abiria asiyekaguliwa nyaraka zake za kusafiria na mitambo maalum ya kuangalia vitu mbalimbali vikiwemo kemikali hatari, silaha na madawa ya kulevya hawezi kupita.Kwa mujibu wa mama huyo, aliambiwa na maofisa wa uwanja huo kuwa sehemu hizo zote mtoto wake alipita bila kuonekana na kamera zauwanjani hapo wala kuacha kumbukumbu yoyote hali iliyozidi kuwaumiza vichwa maofisa wa uwanja huo.Zefania alisema wakati maofisa hao wakitafakarihayo, ndipo msamaria mwema mmoja alijitokeza na kumchukua kwenda kumuhifadhi nyumbani kwake.“Akiwa nyumbani kwa msamaria mwema huyo, nimeambiwa mwanangu alianza kumfanyia maajabu mbalimbali ikiwemo kuzungumza na wanyama na viumbe wengine wa ajabu au kutoka nje huku mlango umefungwa kwa ndani.“Kuna muda alizungumza na viumbe wasioonekana ambapo aliwasiliana nao na kumletea vitu kadhaa alivyovitaka. Wakati mwingine alizungumza na wanyama wa mle ndani, kama kuku na paka ambao alikuwa akiwatuma kumfanyia yote aliyokuwa akiwaagiza.“Hali hiyo ilimshtua yule msamaria mwema naye aliomba kupambazuke ili ampeleke mwanangu ustawi wa jamii. Yaani nahisi pengineangekuwa amemuokota sehemu bila kukabidhiwa mbele ya mashahidi pengine angemtupa usiku huohuo.“Baada ya kushuhudia vituko hivyo, asubuhi iliyofuata alimkimbiza ustawi wa jamii ambako nako wameniambia alianza kuwafanyia vituko kama hivyo na kuwaambia kuwa angewatoroka muda wowote, kisha kuonekana akiparamia juu ya paa na kutaka kutoka.“Yaani kwa muda mfupi waliokaa naye, maofisa wa ustawi wa jamii wanasema amewahenyesha vya kutosha ndipo walipofanya juhudi za kunitafuta na mimi nikaenda kumfuata,” alisema mama huyo muda mfupi baada ya kutua bandarini Dar..Paparazi wetu alipomtaka mtoto huyo kuzungumza alikataa katakata na kujifanya bubu hali iliyomshangaza hata mama yake. “Nashangaa, sijui kwa nini hataki kuzungumza nawewe wakati ni mzungumzaji sana,” alisema mama Happiness.Akizungumzia historia ya mtoto huyo, mama huyo alisema alimzalia Musoma, Mara na mwanaume mmoja aliyemtaja kwa jina la Juli ambaye walitengana na hawana mawasilino mazuri.Mama huyo alisema alimpeleka mtoto wake shuleni lakini kila akifika harudi nyumbani na kutorokea anakokujua na kuonekana baada ya wiki mbili au tatu.Kufuatia hali hiyo amewaomba wasamaria wema na viongozi wa dini kumwombea mtoto wake ili arudi katika hali ya kawaida kwani anajua kuna mkono wa mtu wa karibu uliyemharibu mtoto wake.GPL
Posted via Blogaway
IMEFICHUKA!! KUMBE JIDE, GARDNER SASA PAKA NA PANYA. SHUHUDIA PICHA
Posted via Blogaway
FASHENI HIZI JAMANI: VIMINI VYAMZUIA DIDA KUFANYA KAZI IKULU SOMA ZAIDI HAPA
Posted via Blogaway
BAADA YA KUTUKANWA INSTAGRAM KUA ANAISHI KWA WEMA, HICHI NDO KADINDA ALICHOONYESHA
Posted via Blogaway
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV"kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Posted via Blogaway
Thursday, September 18, 2014
UCL: Matokeo ya Man City vs Bayern Munich haya hapa
Posted via Blogaway
HII NDO LISTI KAMILI YA MABILIONEA WALIOKIMBIA SHULE HII HAPA
List of college-dropout
billionaires
1. Bill Gates[4] – US
2. Mark Zuckerberg [5] – US
3. Larry Ellison [6] – US
4. Michael Dell [7] – US
5. Marc Rich [8] (d. 2013) – US
6. Ty Warner [9] – US
7. Gautam Adani [10] – India
8. Micky Jagtiani[11] – India
9. Shahid Balwa [12] – India
10. Subhash Chandra[13] – India
11. Vinod Goenka [14] – India
12. PNC Menon [15][16] – India
13. Roman Abramovich [17] – Russia
14. Sheldon Adelson [18] – US
15. Amancio Ortega[19] – Spain
16. Donald Newhouse[20] – US
17. François Pinault[21] – France
18. Jack Taylor[22] – US
19. David Geffen[23] – US
20. Ted Turner [24] – US
21. Henry Fok[25] (d. 2006) – Hong Kong
22. Ralph Lauren [26] – US
23. Mohammed Al Amoudi[27] – Saudi Arabia
24. Stanley Ho [28] – Hong Kong
25. Gabe Newell[29] – US
26. Dustin Moskovitz[30] – US
27. Richard Li[31] – Hong Kong
28. Sheldon Solow [32] – US
29. Stef Wertheimer [33][34] – Israel
30. Hiroshi Yamauchi[35] (d. 2013) - Japan
31. Evan Williams [36] - US
Posted via Blogaway
Wednesday, September 17, 2014
NDOA YA DADA 'AKE DIAMOND NA PETIT MAN CONFIRMED...MWENYE WE AFUNGUKA KIIVI!
Posted via Blogaway
Download New Music: Rabbit Ft Joh Makini & G Nako – Najipendelea
Tuesday, September 16, 2014
HUU NDO UZI MPYA WA MAN CITY UCHEKI HAPA
Posted via Blogaway
UNYAMA WA KUTISHA DAR: ACHINJWA NA KUTUPWA, AOKOTWA NA WATOTOT WAKE WADOGO!
Posted via Blogaway
SAMAHANI KWA PICHA HIZI: [ZINATISHA] ANYONGWA NA MPENZI WAKE NA KUTUPWA KORONGONI HUKO KIGOMA!
Posted via Blogaway
DUNIA IMEKWISHA: MWANAMKE AWABAKA WATOTO WA KIUME WAWILI mcheki hapa
Posted via Blogaway
SIRI IMEFICHUKA: ALIYEZAA NA RIYAMA WA BONGO MOVIE ANASWA LIVE! SHUKA NAYO HAPA!
Posted via Blogaway
WEMA SEPETU AMJIBU KAJALA , NAYE AGAWA PESA KAMA MVUA KWA MWIMBAJI WA SKYLIGHT BAND cheki hapa
Posted via Blogaway
LOGARUSIC AIPELEKA PUTA SIMBA SC, TFF YAWAPA SIKU 14 KUMALIZANA NAYE, VINGINEVYO…
Posted via Blogaway







