Monday, September 15, 2014

HIZI NI AJIRA MPYA ALIZO ZITANGAZA DIAMOND PLATINUM

Licha ya kuonekana na madansa wa kike katika jukwaa la Fiesta 2014 Mwanza, Diamond anasema hajabahatika kumpata dansa wa kike mwenye vigezo anavyovitaka. “Sina madansa wa kike pale wawili ni wa Vanessa naweza sema wote si wangu, zamani nilikuwa na madansa wa kike, lakini kwa sasa Tanzania tuna upungufu kwenye muziki wa Bongo Fleva na muziki wa bendi kuna madansa ambao wamebobea kucheza muziki wa dansi pekee. Nilitamani kuwa na madansa wa kike zamani lakini ilishindikana maana kuwapata ni ngumu sana,” anasema na kuongeza: “Mpaka sasa bado natafuta madansa wa kike sijawapata, nahitaji dansa wa kike ambaye anajua, awe anajiamini afuatilie madansa wa nje wanachezaje, awe na unyamwezi kidogo ni ngumu sana, awe mbunifu afuatilie muziki wa nje na vitu kama hivyo. Kwa hiyo nikatamani nifanyaje nikaamua kuazima madansa wa watu nifanye nao shoo,” anasema.SOMA ZAIDI>>apo chin

 BONYA HAPA KUSOMA 


Posted via Blogaway

MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO.

MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo. Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as well. Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu community.
Mwili wa marehemu ukipelekwa hospital

Credit blog ya mwananchi


Posted via Blogaway

HAWA NDIYO WASANII WA KIKE WA BONGO FLEVA WENYE MVUTO,CHEKI PICHA ZAO HAPA

Ukiongelea wenye mvuto kwenye sanaa hii ya Bongo fleva,Linah anaweza kuwa juu ya list,jina lake kamili ni Linah Sanga,anakimbiza sana katika anga hizi za bongo fleva, kwenye upande mzima wa mvuto,wadau wanasema kuwa hawezi kulinganishwa na msanii mwingine yeyote.
Urembo wake ulijionyesha pamoja na kipaji chake kizuri cha kuimba pale alipoamua kushiriki mashindano ya Epic Bongo Star Search,ndio Tanzania ilipoanza kuona uwepo wake,Shaghala baghala ndiye video yake iliyomuweka kwenye ramani ya bongo fleva mwaka huu,nakufanikiwa kuzidi kupata umaarufu,uzuri wake unaweza kusema labda amechovya flani hivi.
Ingawa aliweza kuonekana kwenye nyimbo kadhaa za bongo fleva hapo mwanzo, kupitia uzuri wake akiwa kama model,mwisho wa siku akajaribu kuweka vocal,zikakubalika,nakushirikishwa kwenye nyimbo mbali mbali ikiwemo kaka dada.Huyu si tu msanii wa bongo fleva,bali ni Tv presenter na host katika events mbalimbali,ukiachia mbali u-CEO of Kidoti Lovig co.
Sauti yake na uzuri wake kwa mara ya kwanza kuonekana katika luninga,ni kwenye video ya tabasamu ya Mr.Blue,ila kutokana na uzuri wake,naamini asilimia kubwa ya watu huishia kumuangalia Najma tu,naamini hata asingekuwa na sauti nzuri watu bado wangekuwa wanaangalia video zake,mbali na uzuri huo yeye pia ni msanii wa bongo fleva na kwa hivi sasa ana-hit na track yake mpya ya Nimechoka aliyomshirikisha Aslay.
Maarufu kama Vee money yeye ni recording artist, rapper, songwriter, na mtangazaji wa vipindi vya television na redio,mitandao mengi ya huko nchini Kenya ili ripotiwa kumfananisha mrembo huyu na mmoja wa wanamuziki wa destiny child,Kelly Rowland.ndiye msanii anayetoka poa kwenye kila aina ya vazi atakaloamua atupie,unaweza kudhani kuwa ni model au kwa nini hajawa model nakuchagua kuwa muimbaji kwa jinsi alivyo tu
Wengi humfananisha msanii huyu na mkongwe wa muziki wa Bongo fleva maarufu kama RayC,kuanzia macho,weupe wake,sauti hadi jinsi anavyocheza unaweza kusema kuwa ni mdogo wake Ray C,ila uzuri wake ndio uitakaokuweka kwenye luninga yako muda mrefu kumwangalia video yake,badala yakusikiliza nyimbo.Ni msanii aliyekuja kwa kasi kwenye Bongo Fleva nakukubalika kirahisi na kubaki on top hadi hii leo,ana-hit na nyimbo kama Kizunguzungu,upepo,nashukuru umerudi na nyingine nyingi.

Posted via Blogaway

JAMAA ACHEZEA KICHAPO CHA PAKA MWIZI BAADA YA KUTAKA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 8 HUKO JIJINI DAR

Huyu ndio mtuhumiwa. Alifika Nyumbani na kumlaghai mtoto Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle Akamvuta mpaka vichakani na kutaka kuanza kumlawiti. Mtoto alipoona hivyo akaanza kup iga kelele na kupambana na mtuhumiwa. Muasi alikuwa taya ri ameshavua nguo, alipoona mtoto anapiga kelele akaanza kumng'ata na meno mashavuni na kump iga na j iwe kwenye paji la uso. Bahati nzuri, MUNGU sa i dia, kuna mama alikuwa anashusha matofali akaskia kelele hizo kabla ya tendo baya kufanyika. Akaita watu wakamkuta mtuhumiwa akiwa anaendelea kujaribu kumlawiti mtoto huyo wa kiume. Alifanikiwa kumwaga haja zake tu, ila hakufanikiwa kumuingia kimwili. Watu wenye hasira walimpa adhabu yake na yeye, kabla Police hawajafika na kumtia mbaroni.. Inasemekana kuwa mtuhumiwa huyu ndio tabia yake, ila hii ndio ilikuwa arobaini yake. Mitaa ya Mbezi ya Kimara, amezunguka sana kuharibu watoto wa watu. Kila Nyumba akifika anauliza baba na mama wapo?? akiambiwa tu hawapo anaanza shughuli zake.H ivi sasa yuko Hospitali ya TUMBI mahututi, akingojea kusomewa mashtaka

 soma zaid hapa 


Posted via Blogaway

UMEONA GARI ANAYOMILIKI BABA YAKE NA MSANII DAVIDO KUTOKA NIGERIA LIKO HAPA

Msanii Davido kutoka Nigeria ameonyesha gari anayomiliki baba yake mzazi mtandao wa kijamii wa Instagma na kuandika maneno haya "Congrats daddy on your new ‘toy’. Ur d baddest. Baba Olowo’. Is that a Rolls Royce?"

Posted via Blogaway

JEURI YA PESA MARTIN KADINDA ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA TSH. MILION 15! ichek hapa

Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa hujui basi chukua hii, designer mkubwa wa nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia mtandao wako wa jamii wa makubwa haya blog yakuwa yeye gari kwake sio ki2, kwa kudhihirisha hilo ameamua kununua saa inayoitwa TAGHEURE yenye thamani ya $9800 ambayo ni sawa sawa na milion 14 za kitanzania na hii ndio kauli aliyoitoa designer martin kadinda kutokana na saa hiyo....Yeeeeeeeeees I finaly own one…. #TAGHeuer #GrandCarrera watch….. U own fancy car I own this Watch……. Google it if u dont mind.. Its all about uamuzi,design n fashion..big up kwa martin kadinda coz u have done something different in the industry of Tanzania keep it up jamany u really desearve to be congratulated..

Posted via Blogaway

TANZANIA NDIO NCHI INAYOONGOZA DUNIANI KWA MATUMIZI MABAYA YA INSTAGRAM SOMA HAPA LIVE!!

Mtandao wa Instagram unaohusisha uwekaji picha umeendelea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania lakini wengi kati ya watumiaji hao wameisababisha kuwa kati ya nchi zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya mtandao huo duniani kote. Ripoti hiyo imetolewa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasialiano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy katika mahojiano maalum aliyofanya na Ibrahim Issa wa 100.5 Times Fm. “Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zimeongoza kwa watu kulalamika kwamba matumizi yetu hayaendani na makusudio. Na hii inatokana na pale watu ambao wanawafuata watu wa` Tanzania kuona vitu wanavyoweka vitu wanavyoweka, ugomvi, matusi, picha za ajabu…za ngono na nini. Sasa watu huwa wanalalamika.” Amesema Innocent Mungy. “Wanapolalamika, ule mtandao huwa unaweka record kwamba watu wengi waliolalamika kwenye mtandao huu kuhusu picha za watumiaji ambao wako Tanzania labda ni 20 wakilinganisha na sehemu nyingine ambazo idadi inakuwa ndogo zaidi.” Ameongeza. Amefafanua kuwa kwenye mitandao yote ya kijamii, wakati wa kujiunga mtumiaji hupewa maelezo ya kurasa kadhaa kuhusu namna ya kutumia mtandao huo ikiwa ni pamoja na makatazo lakini watumiaji wengi wa Tanzania huwa hawayafuatilii/huyapuuza. Mwisho, Mungy ametoa wito kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini kuitumia mitandao hiyo kwa maendeleo na sio vinginevyo. “Mitandao hii ya kijamii kama mawasiliano ni maendeleo. Matumizi ya mitandao sio mabaya ila watumiaji ndio wanafanya vitu vibaya. Ningewataka watanzania ambao wanatumia mawasiliano haya vibaya waache. Tuitumie vizuri. Na wale watu ambao unawaona wewe hawaendani na matumizi ambayo yanapendeza, wafute kwenye mtandao wako. Wa-Unlike, wa-Unfriend au wa-delete kabisa ili usione hayo mambo yao ya kipuuzi wanayofanya.”

Posted via Blogaway

KUTANA NA MTU ALIYE WAHI KWENDA MBINGUNI MARA 4,KAKUTANA NA "ELIYA,ABELI NA MUSA"PIA KACHORA RAMANI YA MBINGUNI

Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 65, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na 2008 kwa mfululizo Yote hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina wezekana malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana kisema ..Ramani ndiyo hiyo hapo juu

Posted via Blogaway

HII NDIO KUFURU BONGO GARI LA SHILINGI BILIONI MOJA LAKANYAGA ARDHI YA BONGO...licheki hapa

HII sasa ni kufuru!” Hivi ndivyo utakavyoweza kusema kwa Davies Mosha ambaye ni makamu mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, ambaye nafasi yake kwa sasa klabuni hapo inashikiliwa na Clement Sanga. Kwa tafsiri ya haraka, yawezekana Mosha anaweza kuwa ndiye kiongozi pekee wa soka nchini kumiliki gari la kifahari na lenye gharama kubwa aina ya Lamborghini kama ambalo linamilikiwa na mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney. Gari analomiliki Mosha ambalo lina rangi ya njano, linaaminika kuwa miongoni mwa magari yenye thamani kubwa siyo tu Tanzania na Afrika, bali duniani kote, kwani hata siku Rooney alipolinunua wenzake wengi hawakutegemea, siyo kwa sababu hana fedha, ila kwa kuwa hakuwa mtu wa matumizi ya magari yenye thamani kubwa kama hilo. Mosha ameliambia Championi Ijumaa kuwa anamiliki magari kadhaa ya kifahari kwa matumizi yake binafsi na familia yake. Yafuatayo ni maelezo kuhusiana na gari hilo la kifahari kwa kuanzia kiwango cha mafuta na usumbufu anaoupata akiwa katika mizunguko yake. Ameinunua kwa bei gani? “Kutokana na ubora wa gari hili, nililazimika kutoa shilingi bilioni moja kwa ajili ya kulinunua, kama unavyojua ni fedha nyingi, nimenunua kwa mapenzi yangu. Mmiliki wa gari hili Alipolinunua “Hili gari kaniuzia mtoto wa Bakhresa (Yusuph), baada ya kufikia makubaliano kati yake na mimi, aliniuzia Julai 2011. Spidi ya gari “Hili gari kasi yake ya mwisho ni 360, ni kasi kali na inatosha kwa matumizi yangu binafsi. Matumizi ya mafuta “Matumizi ni ya kawaida wala siyo ya kuogopesha sana, inategemea na umbali utakaotembea. Usumbufu anaoupata “Usumbufu mkubwa ninaoupata kiukweli, nikiwa naendesha barabarani, madereva wengine wanalishangaa sana, hali inayosababisha kutokea ajali au msuguano mara kadhaa. “Hivi karibuni dereva mmoja aliigonga sehemu ya tairi la nyuma kushoto kutokana na kuishangaa, ilikuwa maeneo ya Masaki hapahapa Dar es Salaam. “Matengenezo yake yaligharimu pauni 20,000 (zaidi ya shilingi milioni 50), hali iliyosababisha niwe makini nikiwa naendesha,” anasema Mosha. “Matengenezo yake yaligharimu pauni 20,000 (zaidi ya shilingi milioni 50), hali iliyosababisha niwe makini nikiwa naendesha,” anasema Mosha.
Huyu ndo mmiliki wa gari hiyo

Posted via Blogaway

SHILOLE SASA ANAVUKA MIPAKA,CHEKI PICHA ZAKE ZISIZO NA MAADILI

MAJANGAZ DUNIA INAKWENDA WAPI? MKE WA MTU MJAMZITO AKUTWA NA MWANAUME MWINGINE GESTI

Sunday, September 14, 2014

HIZI NI PICHA NILIZIKUTANAZO LEO HII WHATSAPP NAKWAMBIA LAZIMA UCHEKE

SASA RONALDO ANATAKA HELA HII ILI ALUDI MAN UNITED

Cristiano Ronaldo amefunguka na kusema yuko tayari kutua Manchester United au Chelsea lakini anahitaji kulipwa mshahara wa pauni 500,000 kwa wiki. Usisahau Man United ikiwa chini ya Alex Ferguson ilikubali kumuachia Ronaldo aende kwa kuwa ilishindwa kumlipa paumi 350,000 kwa wiki. Tayari wamiliki wa Man United wamemwaga mamilioni kwa Wayne Rooney ambaye sasa atakuwa anapata pauni 300,000 kwa wiki ikiwa ni baada ya kuanza kumlipa Ramadal Falcao pauni 390,000 kwa wiki. Swali linabaki kama ni kweli Chelsea au Man United zitakuwa tayari kutoa kitita hicho.

Posted via Blogaway

HIZI NI NAFASI ZA KAZI ZILIZOTANGAZWA NA MAKAMPUNI MBALIMBALI LEO HII

NAFASI YA KAZI TANGA CEMENT MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 17 SEPT 2014

TANGA CEMENT

QUARRY SHIFT SUPERVISOR
Reporting to: Quarry Manager

Qualifications and Experience
BSc in Mining Engineering or equivalent, Knowledge in Drilling and Blasting operations, Survey Operations, Supervision of mining activities and Equipments, Planning, Organising and Supervision skills, Problem solving, Industrial knowledge, Customer relations, Report writing skills and at least three (3) years' experience in cement or manufacturing industry.

Key Responsibilities
Supervise Drilling, Blasting, Hauling and Crushing operation in a shift, Conduct survey of mine and stocks using total station and GPS, Training of subordinates, Ensure targets are met, Meeting production targets, Efficient operation of units. The candidate will also be responsible for safe working practices and environmental compliance.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
(Position you are Applying for)
HUMAN RESOURCES MANAGER
TANGA CEMENT COMPANY LIMITED
PO BOX 5053
TANGA

NAFASI ZA KAZI , EFC TANZANIA LIMITED MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAR 19 SEPT 2014

Operating since July 2011, EFC TANZANIA M.F.C LIMITED provides financial services to micro, small and medium size enterprises (MSMEs) and is the first deposit taking microfinance institution to be licenced and regulated under the Bank of Tanzania’s Microfinance Company Charter.

The purpose of the Entrepreneurs Financial Centre (EFC) is to provide increased access to specialized financial services for entrepreneurs while contributing to wealth creation, improvement of living conditions and development of the Tanzanian private sector. Owned by international and local investors, EFC Tanzania is distinctive in its emphasis on local development through a collective ownership scheme.

POSITION: FINANCE MANAGER
EFC Tanzania through its expansion program and in an effort to serve its client better, is looking to fill the following positions in Dar es Salaam:

Qualification & Requirements
Qualifications & Profile:
Applicants should have financial services experience with the following general profile:
• A Degree in Finance or Accounting;
• Chartered Certified Accountant(CCA) or Certified Public Accountant(CPA) Completed;
• One to Three years of Accounting and Finance Experience in a Financial Institution;
• Good knowledge of Finance and Accounting IT System;
• Strong people/relationship skills;
• Excellent oral and written communication skills in English and KiswahiliAPPLICATION INSTRUCTIONS:
EFC Tanzania seeks to hire qualified and experienced candidates who are strongly oriented towards personal and professional development for career advancement and can actively participate in a fast paced and constantly changing environment.

Interested candidates are requested to submit a letter of interest explaining their motivation for the position applied for together with their Curriculum Vitae with three professional references.

Applications will be received until 19th of September, 2014 addressed to:

The Human Resource Department
EFC Tanzania M.F.C Limited
1st Floor, Letsya Towers
59 New Bagamoyo Road
P.O. Box 11735
Dar es Salaam, Tanzania
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

We thank all candidates for their interest, however only those short listed for an interview will be contacted directly.
No telephone calls or office visits please.
============
  
Operating since July 2011, EFC TANZANIA M.F.C LIMITED provides financial services to micro, small and medium size enterprises (MSMEs) and is the first deposit taking microfinance institution to be licenced and regulated under the Bank of Tanzania’s Microfinance Company Charter.

The purpose of the Entrepreneurs Financial Centre (EFC) is to provide increased access to specialized financial services for entrepreneurs while contributing to wealth creation, improvement of living conditions and development of the Tanzanian private sector. Owned by international and local investors, EFC Tanzania is distinctive in its emphasis on local development through a collective ownership scheme.

POSITIONS: BUSINESS LOAN CENTER ASSISTANT MANAGER 
EFC Tanzania through its expansion program and in an effort to serve its client better, is looking to fill the following positions in Dar es Salaam:

Qualifications & Profile:
Applicants should have financial services experience with the following general profile:
• A Degree in Business Management, Economics or Management;
• A minimum of two years of relevant experience, preferably in the financial services sector;
• Knowledge of microfinance specific to MSE markets would be a definite asset;
• Background in staff management including leadership, skills development and coaching;
• Strong people/relationship skills;
• Excellent oral and written communication skills in English and Kiswahili.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
EFC Tanzania seeks to hire qualified and experienced candidates who are strongly oriented towards personal and professional development for career advancement and can actively participate in a fast paced and constantly changing environment.

Interested candidates are requested to submit a letter of interest explaining their motivation for the position applied for together with their Curriculum Vitae with three professional references.

Applications will be received until 19th of September, 2014 addressed to:

The Human Resource Department
EFC Tanzania M.F.C Limited
1st Floor, Letsya Towers
59 New Bagamoyo Road
P.O. Box 11735
Dar es Salaam, Tanzania
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

We thank all candidates for their interest, however only those short listed for an interview will be contacted directly.
No telephone calls or office visits pleaseOperating since July 2011, EFC TANZANIA M.F.C LIMITED provides financial services to micro, small and medium size enterprises (MSMEs) and is the first deposit taking microfinance institution to be licenced and regulated under the Bank of Tanzania’s Microfinance Company Charter.

The purpose of the Entrepreneurs Financial Centre (EFC) is to provide increased access to specialized financial services for entrepreneurs while contributing to wealth creation, improvement of living conditions and development of the Tanzanian private sector. Owned by international and local investors, EFC Tanzania is distinctive in its emphasis on local development through a collective ownership scheme.

POSITIONS:
EFC Tanzania through its expansion program and in an effort to serve its clientele better, is looking to fill the following positions in Dar es Salaam:

POSITION: LEGAL OFFICER
Qualifications & Profile:
Applicants should have financial services experience with the following general profile:
• Diploma in Laws or Equivalent;
• A minimum of one (1) to Two (2) years of Housing/MSE lending legal experience in the financial services sector;
• Strong people/relationship skills with a customer service and teamwork orientation;
• Excellent oral and written communication skills in English and Kiswahili.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
EFC Tanzania seeks to hire qualified and experienced candidates who are strongly oriented towards personal and professional development for career advancement and can actively participate in a fast paced and constantly changing environment.

Interested candidates are requested to submit a letter of interest explaining their motivation for the position applied for together with their Curriculum Vitae, three professional references and copies of academic certificates/diplomas.

Applications will be received until Friday 19th September, 2014 addressed to:

The Human Resource Department
EFC Tanzania M.F.C Limited
1st Floor, Letsya Towers
59 New Bagamoyo Road
P.O. Box 11735
Dar es Salaam, Tanzania
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

We thank all candidates for their interest, however only those short listed for an interview will be contacted directly.
No telephone calls or office visits please.
===========

Operating since July 2011, EFC TANZANIA M.F.C LIMITED provides financial services to micro, small and medium size enterprises (MSMEs) and is the first deposit taking micro finance institution to be licensed and regulated under the Bank of Tanzania’s Micro finance Company Charter.

The purpose of the Entrepreneurs Financial Centre (EFC) is to provide increased access to specialized financial services for entrepreneurs while contributing to wealth creation, improvement of living conditions and development of the Tanzanian private sector. Owned by international and local investors, EFC Tanzania is distinctive in its emphasis on local development through a collective ownership scheme.

POSITION:
EFC Tanzania through its expansion program and in an effort to serve its clientele better, is looking to fill the following position in Dar es Salaam:

POSITION:RECOVERY MANAGER (1) POST
Qualifications & Profile:
Applicants should have financial services experience with the following general profile:
• Bachelor’s Degree in a related field.
• 2 - 3 years of loan collections and recovery experience in the financial service sector.
• Strong people/relationship skills with a customer service and teamwork orientation.
• Action and results oriented with good time management and analytical skills.
• Excellent oral and written communication skills in English and Kiswahili.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
EFC Tanzania seeks to hire qualified and experienced candidates who are strongly oriented towards personal and professional development for career advancement and can actively participate in a fast paced and constantly changing environment.

Interested candidates are requested to submita letter of interest explaining their motivation for the position applied for together with their Curriculum Vitae.

Applications will be received until Friday 19th of September, 2014 addressed to:
The Human Resource Department
EFC Tanzania M.F.C Limited
1st Floor, Letsya Towers
59 New Bagamoyo Road
P.O. Box 11735
Dar es Salaam, Tanzania
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

We thank all candidates for their interest, however only those short listed for an interview will be contacted directly.
No telephone calls or office visits please.


Posted via Blogaway

HIKI NDO KITU AMBACHO AKIFANYA FALCAO LAZIMA ABAKI MAN UNITED

MANCHESTER, ENGLAND KILA biashara ina masharti yake. Lakini biashara ya Radamel Falcao kubaki jumla Manchester United inaweza kuwa rahisi tu. Masharti yake ni rahisi kuliko ya mganga wa kienyeji. Kwa mujibu wa habari za ndani za Old Trafford, inadaiwa kuwa mkopo wa nyota huyo wa kimataifa wa Colombia unaweza kuwa usajili wa muda mrefu kama tu atafanikiwa kucheza mechi 15 na kufunga mabao matano. Akifanikiwa katika hilo, United italazimika kutoa dau la Pauni 35 milioni huku ikimlipa mshahara wa Pauni 11 milioni kwa mwaka baada ya makato ya kodi, pia atajichotea kiasi cha Pauni 2.4 milioni kama bonasi. Falcao mwenyewe ana matumaini kuwa bodi ya United itamchukua jumla baada ya mkopo wake wa Pauni 6 milioni kutoka Monaco ambao utaisha Juni mwakani. Juzi Alhamisi alitambulishwa katika Uwanja wa Old Trafford pamoja na kiungo Daley Blind aliyesajiliwa kwa Pauni 14 milioni kutoka Ajax. “Natumaini nitabakia Manchester United kwa miaka mingi na kuweka historia katika klabu hii. Nilipokuwa Porto na Atletico Madrid siku zote nilipenda kuimarika na niliota kuchezea klabu kama hii. Nataka kubaki hapa kwa miaka mingi,” alisema Falcao. “Naona kwa sasa klabu ipo katika kipindi ambacho kila mmoja anataka kumjua mwenzake. Lakini hapa kuna wachezaji wa hali ya juu na wana akili sana na ambao wana uwezo wa kufanya kile ambacho kocha anataka. “Kuhusu suala la nitacheza wapi nadhani hilo ni jambo ambalo kocha ataamua kwangu. Nimekuwa na bahati ya kucheza katika klabu kubwa duniani kote katika mechi kubwa na fainali. Nimejikita katika kufurahia soka langu na kutumia nafasi ambayo Manchester United wamenipa. “Siku zote huwa nina tabia ya kuweka malengo yangu binafsi, hilo ndilo ambalo wachezaji wanapaswa kujipa changamoto wenyewe.” Staa huyo kwa msimu wa tano sasa hajafanikiwa kucheza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya. Falcao anatarajiwa kuvaa jezi ya Manchester United kwa mara ya kwanza kesho Jumapili katika pambano la Ligi Kuu England dhidi ya QPR uwanjani Old Trafford.

Posted via Blogaway

SASA TAMBWE ANATAKA KUWAHACHIA MAJONZI MAZITO SIMBA FC BAADA YA KUTAKA KUAMUA KITU HIKI

STRAIKA mahiri wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, amesema alisikitishwa na taarifa za kutaka kuchujwa kikosini kumpisha mshambuliaji Emmanuel Okwi raia wa Uganda na kuongeza kuwa anasubiri dirisha dogo la usajili lifunguliwe ili afanye uamuzi mgumu. Tambwe aliibuka kinara wa mabao msimu uliopita lakini uongozi wa klabu hiyo ulikuwa unafikiria kumchomoa kikosini hapo baada ya kutakiwa kupunguza mchezaji mmoja wa kigeni kupisha usajili wa Okwi ili kukidhi idadi ya wachezaji watano wa kigeni wanaoruhusiwa kucheza katika klabu moja. Simba tayari ilikuwa na Joseph Owino raia wa Uganda, Donald Mosoti na Raphael Kiongera raia wa Kenya pamoja na Warundi Pierre Kwizera na Tambwe hivyo kutakiwa kumpunguza mmoja. Mosoti ndiye aliyekuja kuondolewa baadaye baada ya hoja ya Tambwe kupata upinzani mzito. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Tambwe alisema: “Najua kuwa mimi ndiye niliyekuwa chaguo la kwanza la kuondolewa ili kumpisha Okwi, nilisikitika sana nilipopata hizo taarifa kwani tayari nilikuwa na mipango yangu mingi niliyokuwa nimeiahirisha kwa ajili ya Simba. “Siwezi kuweka wazi klabu nilizotaka kwenda lakini nilikuwa na mipango mingi, kwa sasa nasubiri dirisha dogo ili niweze kukamilisha mipango yangu, mimi naifahamu kazi yangu na huwa sichezi kwa kubahatisha,” alisema Tambwe. Hata hivyo straika huyo alisema: “Mosoti tayari ameshaondoka, hakuna ujanja hao vijana wanatakiwa wajitahidi kucheza kwa kuelewana na kuisaidia timu, hapo tutasogea lakini ukweli ni kwamba kuna vitu vya Mosoti ambavyo tutavikosa.”credit mwanaspoti

Posted via Blogaway

KAMA MATOKEO YA NDANDA FC vs SIMBA HUJAYAPATA YAPO HAPA

ASHINDWA KUNG’ARA NANGWANDA SIJAONA Na Renatus Mahima, MTWARA SIMBA SC imepata sare ya kwanza chini ya kocha Mzambia, Patrick Phiri baada ya kutoka 0-0 na Ndanda Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Katika mchezo huo, refa David Paul aliyesaidiwa na Mohammed Kayanda na Sawa Omar, wote wa hapa, timu zote zilishambuliana kwa zamu vipindi vyote. Jacob Masawe aliifungia bao Ndanda dakika ya 51 ambalo hata hivyo, refa David Paul alilikataa kwa kuwa mfungaji alikuwa ameotea kabla ya kufunga, uamuzi ambao haukuwaridhisha wenyeji. Katika mchezo huo uliohudhuriwa na Rais wa Simba SC, aliyeongozana na Mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, mshambuliaji Emmanuel Okwi alitokea benchi dakika ya 60 kuchukua nafasi ya Abdallah Seseme, lakini hakuonyesha cheche zake. Huo unakuwa mchezo wa sita kwa Phiri tangu arejee Simba SC mwezi uliopita, akirithi mikoba ya Mcroatia, Zdravko Logarusic baada ya awali kushinda 2-1 na Kilimani City, 2-0 na Mafunzo, 5-0 na KMKM, 3-0 na Gor Mahia na kufungwa 1-0 na URA. Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Hussein Sharrif ‘Cassilas’, Nassor Masoud ‘Chollo’, Abdi Banda, Abdul Azizi, Joram Mgevege, Said Ndemla, Ibrahim Twaha, Amisi Tambwe, Abdallah Seseme, Ibrahm Ajibu, Ramadhani Singano ‘Messi’. Ndanda; Salehe Malande, Shukuru Chachala, Paul Ngalema, Ernest Joseph, Cassian Ponela, Amir Msumi, Jacob Masawe, Hamisi Salehe, Omar Nyenge, Gideon Benson, Nassor Kapama.

Posted via Blogaway

'FIRST ELEVEN' JIPYA LA ARSENAL BAADA YA DANNY WELBECK KUTUA EMIRATES

Kikosi cha Arsenal kinavyotarajiwa kuwa baad ya klabu hiyo kumpata mshambuliaji Danny Welbeck kutoka Manchester United ya England

Posted via Blogaway