Monday, September 15, 2014

MFANYABIASHARA MAARUFU NCHINI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO.

MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo. Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita). Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha to have sex with them as well. Onoja alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu community.
Mwili wa marehemu ukipelekwa hospital

Credit blog ya mwananchi


Posted via Blogaway

0 comments:

Post a Comment