Saturday, October 11, 2014
 |
| Mwalimu wa sayansi katika shule ya Santa
Monica High School alimstukia mwanafunzi huyu
akijaribu kuuzia wanafunzi wenzake bangi
darasani. Alipomkabili kuhusu tendo hilo,
mwanafunzi huyo alimsukuma mwalimu huyo na
ghafla ngumi zikaanza kurushwa hewani.
Mwanafunzi huyo, Blair Moore, alikamatwa na
polisi na kufunguliwa mashitaka ya kuingiza
madawa, na kisu shuleni. |
 |
| Wanafunzi wengi walikuwa upande wa mwalimu
huyo, ikiwemo kuanzisha |
0 comments:
Post a Comment