Wednesday, October 08, 2014
null
 |
| Menina Atik a.k.a Menina la diva na
Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib
Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli
umepatika baaada ya kuzinasa meseji
za meninah alizofunguka kususu
mahusiano yake na Diamond.
Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye
simu ya Meninah ambaye alikuwa
akichati naye kuhusu mwenendo mzima
wa Mahusiano yake na Diamond kupitia
"Chating" hizo Meninah amekiri
kwamba Diamond alimtaka kimapenzi
na alifikia hatua ya kujitambulisha
nyumbani kwao kwa nia ya kumuoa
lakini alimtolea njekwa sababu tayari
alikuwa na mchumba mwingine na
alishavishwa pete.
Aidha,Menina aliendelea kubainisha
kwamba diamond alianza kulifukuzi
penzi lake toka 'Long time' toka
alivyokuwa na mpenzi wake
Nasri,Diamond aliendelea kupiga Nyayo
Nyumbani kwao kila siku
"Alikuwa akinisumbua toka niko na
mpenzi wangu Nasri mpaka nimeachana
naye mpaka leo ananitaka"Alifunguka
meninah katika moja ya meseji hizo
aliendelea kufunguka na kusema kuwa
Diamond alionyesha hisia zake kwa
kupeleka taarifa kwenye moja ya
magazeti ya udaku kwa minajili ya
kumlegeza ili akubali kuwa mpenzi
wake. "Sasa yeye(Diamond) akadhani
kwamba anitoe kwenye magazeti labda
mimni nitaogopa then nitajikuta niko
nae, mimi diamond
simtaki.....akaa...kwanza wa nini!"
Hata hivyo meninah aaliitaja sababu
nyingine ya kumpiga chini diamond
akisema kwanza tayari yuko na wema
na mimi Wema nam-respect halafu
amevishwa pete na mchumba;angu
nimsaliti yanini ninayempenda.....
akangeza na utani"Domo lake lile
nitalipeleka wapi;he is noteven
cute.......we cant match."Habari ndiyo
iyo!!!"
Credit udakumagazine |
0 comments:
Post a Comment