Tuesday, September 09, 2014
 |
Ngoma nzito kauli ya sexy lady wa
sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu
‘Beautiful Onyinye’ kuwa yupo tayari
kumtumikia msanii mwenzake Kajala
Masanja ‘K’ kwenye kampuni yake ya
KAY Entertiment tena bila malipo
yoyote, imetafisiriwa kuwa ni kejeli.
NGOMA nzito! Sexy lady wa sinema za
Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful
Onyinye’ Hivi karibuni Wema
alikaririwa akisema: “Nakubali
kwamba Kajala anaweza kuwa na
maisha mazuri ya kiasi hicho na
akanifanya mfanyakazi wake katika
kamusi yake kwa sababu sioni cha
kumfanya ashindwe kuwa hivyo,
naamini anaweza kuniajiri na wala
sina kipingamizi! hahahaa!” Msanii wa
Bongo Movie Kajala Masanja ‘K’. Baada
ya kauli hiyo ya Wema, mashabiki
wake waliikataa kwa maelezo kuwa
alilenga kumkejeli Kajala ambaye
awali aliwahi kumwajiri kwenye
kampuni yake ya Endless Fame
Production. |
0 comments:
Post a Comment